Kikwete Ni Mipango Yako Kutumia Uislamu Kama Utetezi wa Uzembe na Uongozi wa Wizi Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Ni Mipango Yako Kutumia Uislamu Kama Utetezi wa Uzembe na Uongozi wa Wizi Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Mar 24, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mufti condemns ‘prophets’ of doom, defends Gaddafi
  (My Take is Kikwete is Implicated Here Everywhere and he has to Respond Otherwise we will Interpret Shehe's words)

  By JAFFAR MJASIRI, 22nd March 2011 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 467
  MUSLIM scholars and clerics have been urged to propagate peace in the country and openly condemn politicians who promote acts that threaten national unity and stability.

  The Chief Sheikh Mufti Shaaban bin-Simba expressed concern over an emergence of religiously motivated politicians inciting breach of peace.

  "We should openly fight allegations that the current government is illegitimate simply because the president is a Muslim," he said, adding:

  "If some people want to instigate demonstrations that are characterised by violence - like what is happening in some other African countries - where there are gunshots everywhere, such people are very dangerous," he said.

  The Mufti urged the people to follow peaceful means.

  "I am not telling Muslims to stage demonstrations against these instigators.

  "Whenever the country elects a Muslim president there are some politicians who attribute any failures of the establishment to the leader's faith, as is the case now," he said.

  The Mufti said that it was unfortunate that some Christian clerics preached politics in their sermons during election campaigns and influenced voters.

  Meanwhile, Mufti Simba has condemned the military action taken by the US and its allies on Libyan territories, calling such acts as barbaric and meant to undermine Islam.

  He was critical of the decision to resort to airstrikes before exhausting other diplomatic means.

  "Efforts have not been fully exhausted to find a peaceful solution to the Libyan problem," he said.

  The allied forces are killing more people than what Muammar Gaddafi has done since the rebellion began, he argued.

  "Gaddafi is an Arab, but he has absolute solidarity with Africans," he added.

  "I, therefore, appeal to all Muslim leaders in all the mosques in the country to hold special prayers seeking Allah's intervention to stop bombardment and massacre taking place in Libya," he said.

  He said the political instability was sponsored outside Libya to destabilise the country, since Gaddafi had succeeded to propagate Islam all over the world.

  Major Concerns
  1. Nataka nichukue wakati huu kumjibu huyu mkazi wa Tanzania asie na mawazo ya kichwa wala miguu. Tangu lini wananchi watakaa kimya kuona maisha yao yanachukuliwa na kuendeshwa na mafisadi na wizi mkubwa Tanzania na tukae kimya tusibiri mpaka shehe atupe ruhusa kumfukuza? Wewe shehe ulikuwepo wakati wa wizi wa EPA? Wewe shehe ulikuwepo wakati wa Richmond? au ulikuwa raia wa Libya kipindi hicho? Lowassa si alifukuzwa kazi na yeye kama mkristo, kwani wakristo gani uliona wakimtetea au kuandamana zaidi ya familia yake? Swala la Dowans na ukosekaji wa umeme hapa Tanzania, wewe unaona ni kazi nzuri ya Kikwete sio? Au kiongozi kama yeye mhusika wa wizi huu akishirikiana na Rostam tusiwataje kwa sababu ni waislamu sio? Huu uchochezi wa chuki na kutumiwa kwako kuwadanganya waislamu Tanzania kwamba raisi wao anafanya kazi nzuri na tusiongee nakiri hii sio Iran, you got this real wrong.

  2. Ninaomba usome historia na kafanya researches za kuhusu Libya na uuaji wa Gadaffi Africa yote na muuche kutoa maneno kwa kufanya your own investigations sio baada ya kusikia hotuba ya mtumiaji madawa. Kitu gani kinakufanya kumuona Gadaffi ana legitimate ya kuwa raisi wa Libya? Huyu Gadaffi mapinduzi yalipoanza alisema wananchi wake wanatumia madawa then akasema wanakuda al-Qaeda na leo yeye ni muislamu mzuri na anavamiwa na watu wasiowaislamu. Arab league sio waislamu? Wao sio ndio wameomba na ku-push for UN council? Au hautambui UN tena kwa sababu sio waislamu ndio wenyeviti? Please sit down somewhere and stop injecting stupidity in Tanzanian Muslims. This time hamtafanikiwa kitu hakuna udini wala nini Kikwete ataondoka tu.
  Whimsy and menace of Muammar Gaddafi
  How Qaddafi Reshaped Africa - Howard W. French - International - The Atlantic
  Soma vizuri UN Resolution on Libya
  ODS HOME PAGE

  3. Nyie ndio mlitaka kuwa kwenye payrolls za Sadam Hussein, Mubarak na Ben Ali, all you care is money then mpate mic kutangaza vita. We will see what happen after you word goes to uneducated population

  Shehe Hauko Peke Yako Kwenye Mawaiza Duni Namna Hii. Aibu Tupu kwa Maneno Yako, Hakuna Waislamu wa-censor these words
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mbona mambo ya udini yapo sana kipindi hiki cha ****** na siyo enzi za watangulizi wake? Tujiulize!!!
   
Loading...