Kikwete ni kiraza sana? Hudanganywa kila wakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ni kiraza sana? Hudanganywa kila wakati

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chilamjanye, Sep 6, 2010.

 1. c

  chilamjanye Senior Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KIKWETE NI KIRAZA SANA? HUDANGANYWA KILA WAKATI

  Rais anayemaliza muda wake ameonekana kuwa na uwezo mdogo wa kuongoza kwani amekuwa akidanganywa kila wakati. Pamoja na kupewa cheki feki alidanganywa pia kwa kuwekewa vipengele vya sheria kwenye sheria ya kuthibiti matumizi mabaya wakati wa Uchaguzi mpaka pale Mbunge Makini Dr.Wilbroad Slaa alipogundua na kuwashtua serikali kwa kudanganyana. Pia tulishuhudia akihairisha dhifa ya kukabidhi Magari baada ya kuletewa mkurugezi tofauti na yule aliyetakiwa kuja kupokea gari, Alifungua Hoteli Arusha ambayo Kesho yake Geti lilivujwa kwa sababu lilijengwa eneo la barabara (Road Reserve) na Aliwekewa Mafuta yaliyochakachuria kwenye Magari yake. Sasa nasikia pia pamoja na kuumwa sana tu kufikia kuanguka mara kwa mara madaktari huwa wanamdanganya kwamba haumwi na yeye anakubali.
   
 2. K

  Kinte Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Jun 27, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hii kali kuliko zote!!
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  you can say that again!
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mkuu maneno kama hayo ndio yalioffuta post ya jana kj black and white
  nami post yenu kabla hamjapost angalia kama ipo inayoendana na unayotaka kupost kisha changia huko
  mod unganisha hii post na https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/72545-kwani-kikwete-ana-tatizo-gani.html
   
 5. J

  Jmpambije Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duu!!!!! hii inatisha
   
 6. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
 7. c

  chilamjanye Senior Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ni anayetaka kututoa kwenye hoja mbona wanaanika mambo binafsi ya silaa hajasema?
   
 8. c

  chilamjanye Senior Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunachambua mambo yenye ukweli kabisa hapa ambayo hajui kama Kikwete amekuwa akidanganywa mara kwa mara ni nani
   
 9. c

  chilamjanye Senior Member

  #9
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wala sijawhi kumsikia Kikwete akiwachukulia Hatua wote waliomdanganya yawezekana mpaka leo hajui kama alidanganywa
   
 10. P

  Paul S.S Verified User

  #10
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Imerejeshwa kutoka kifungoni punde
  samahani kama nimekukwaza maana yangu ilikuwa post hii na niliyo ilink zinafanana kimantiki
   
Loading...