Kikwete ni kichwa kwa hii speech nimeikubali

Kwanini auzuie muungano kujadiliwa na wala si Kadhi na OIC?
Lazima tujadili kadhi na OIC kwani ni haki ya waislam ambao nao ni watz, Tz haina dini ila wananchi wake wana dini nchi km uganda waliona umuhimu wa kujiunga OIC na kwa sasa waislam na nchi nzima ya uganda wananufaika ndio maana huwezi kuona rais Museven anajadili suala hilo,wagala acheni ubinafsi hamtaki wenzenu wafaidike?
 
Nyie ndiyo mnaohatarisha amani ya Tanzania, hivi watu waliomponda sana Lusinde na Mkapa kwa kuteleza ndimi zao nao wanawachukia hawa watu kwasababu ya Ukristo wao?? au Lowasa jamii inamchukia kwa ajiri ya Ukristo wake? nyie ndiyo mnaifanya dini ya Kiislam ionekane imejaa watu wenye uwezo finyu ambao siku zote wanataka wapate upendeleo maalum kwa Serikali kama walivyo wanawake na watoto.
We ndo una uwezo finyu ambae hujui kwamba wanaotaka wapewe upendeleo cku zote ni wakristo na nyie ndo mlikuwa mnaikumbatia ccm cku zote huku nchi inauzwa lkn kwa kuwa mafisadi walikuwa wanaifadisha kanisa viongozi wenu walikuwa kimya na kushabikia propaganda za ccm kudhoofisha vyama pinzani wangine wakadiliki kutuchagulia kiongozi 2005 kabla ya uchaguzi kwa kutaja waziwazi kuwa mgombea wa urais ccm alikuwa chaguo la mungu kwa lengo la kujipendekeza ili waendelee kunufaika, baada ya kutofautiana na mh ndo wakawaona mafisadi
 
Back
Top Bottom