Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,085
- 1,741
Uliwahi kujiuliz kwanini huyu Lissu anakutana na vizingiti km hivi mpk kushambuliwa na wasiojulikana?Sawa Mkuu all the best, but it's crystal clear that kwa mazingira ya sasa ni vigumu sana kwa upinzani kushinda uchaguzi.
Huwezi kulinganisha siasa za Malawi na Tanzania. Ni tume ipi ya uchaguzi au mahakama iliyo na udhubutu wa kubatilisha matokeo ya urais wa CCM kwa mfano?
Je Lissu sio mtu wa kusimamia kauli zake kupigania haki yake?
Tukipata majibu basi tutaona kua uchaguzi wa mwaka huu utakua mgumu kweli km Lissu anavyosema. Na tumuombe sn Mungu tuvuke salama....