Kikwete, Ngereja mbona kimya sana, au mna maslah na huu mgomo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete, Ngereja mbona kimya sana, au mna maslah na huu mgomo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Humphnicky, Aug 8, 2011.

1. Humphnicky

Humphnicky JF-Expert Member

#1
Aug 8, 2011
Joined: Dec 1, 2010
Messages: 1,808
Likes Received: 526
Trophy Points: 280
Tuko shidani, wananchi tunateseka na adha hii ya mafuta. Nchi iko taabuni, mkuu wa nchi na waziri wa nishati mmekaa kimya, je tuwaeleweje? Au na nyie mna maslahi na mgomo huu wa mafuta?

2. BAK

BAK JF-Expert Member

#2
Aug 8, 2011
Joined: Feb 11, 2007
Messages: 70,918
Likes Received: 83,441
Trophy Points: 280
Hawana cha kusema wote kazi imewashinda sijui wanasubiri nini kuachia ngazi ili tufanye uchaguzi mpya baada ya miezi 12. Kwa hali hii ya sasa hatuwezi kabisa kuendelea kuwa na Serikali hii kwa kipindi kingine cha miaka minne, vinginevyo nchi yetu itaathirika vibaya sana.

3. Humphnicky

Humphnicky JF-Expert Member

#3
Aug 8, 2011
Joined: Dec 1, 2010
Messages: 1,808
Likes Received: 526
Trophy Points: 280
ohh kumbe mheshimiwa yuko busy na ufuturisha washkaji.
Mfungo ukiisha ataanza kushughulikia kero ya mafuta ya magari yaliyochakachuliwa Moshi

4. figganigga

figganigga JF-Expert Member

#4
Aug 8, 2011
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 14,980
Likes Received: 6,632
Trophy Points: 280

amewambia viongozi wa dini waiombee nchi mvua inyeshe ili mgao uishe na waombee nchi iwe na maendeleo.nimeshangaa kweli.

5. Humphnicky

Humphnicky JF-Expert Member

#5
Aug 8, 2011
Joined: Dec 1, 2010
Messages: 1,808
Likes Received: 526
Trophy Points: 280

he must be kiding..... Maendeleo bila mafuta?

6. Kipis

Kipis JF-Expert Member

#6
Aug 8, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 493
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Teh teh teh. Hii nadhani single nyingine ya magamba baada ya ile ya umeme.

7. Humphnicky

Humphnicky JF-Expert Member

#7
Aug 8, 2011
Joined: Dec 1, 2010
Messages: 1,808
Likes Received: 526
Trophy Points: 280

Naona magamba wanatupima imani

Loading...