Kikwete: Naondoka nikiwa naacha Uhusiano wa Kenya na Tanzania ukiwa bora. Na hautabadilika!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,759
71,139

Hakika kama Rais Kikwete angejua yatakayo tokea baada ya kuondoka madarakani kuhusu uhusiano wa Kenya na Tanzania asingesubutu aslani kutamka haya aliyo yasema.
Sikilizeni wenyewe kisha mtoe maoni. Na ingekuwa vizuri kama wale waandishi nguli wamuulize sasa nini msimamo wake kwa sasa kuhusu haya malumbano ya kidplomasia?
 
nyie wakenya mna tabu sana yaani kuambiwa mfuate shelia kwenye mipaka ya watu sio kutimba kama mnaenda chooni mnasema ni mgogoro wa kidplomasia?
 
JK, pamoja na udhaifu wake wa kutokuwa strong wakati wa uongozi wake, ila ni mtu wa watu. Anajua kuishi na watu japo alitaka kushindwa kwa Kagame.
Hata kwa Kagame alitumia busara na hekma kubwa sana mpaka Kagame akajiona Mende!

Hakuna Chuo cha kufundisha busara Kama hujazaliwa nayo huwezi kuwa nayo!

Kiukwei sijawahi kuona jambo lolote ambalo naweza kusema kwa hiki John Magufuli katumia busara sijawahi japo inawezekana lipo!
 
Hakika kama Rais Kikwete angejua yatakayo tokea baada ya kuondoka madarakani kuhusu uhusiano wa Kenya na Tanzania asingesubutu aslani kutamka haya aliyo yasema.
Sikilizeni wenyewe kisha mtoe maoni. Na ingekuwa vizuri kama wale waandishi nguli wamuulize sasa nini msimamo wake kwa sasa kuhusu haya malumbano ya kidplomasia?

Mngojeni Lowasa atawanyenyekea wakenya. Otherwise those Kenyans can go to hell.
 
Hatuna haja ya kuwanyenyekea bali tuheshimiane na tuwe na mipaka kwenye mambo yanayohusu maslihi ya nchi na wewe umeolewa Kenya ni juu yako
 
Hata kwa Kagame alitumia busara na hekma kubwa sana mpaka Kagame akajiona Mende!

Hakuna Chuo cha kufundisha busara Kama hujazaliwa nayo huwezi kuwa nayo!

Kiukwei sijawahi kuona jambo lolote ambalo naweza kusema kwa hiki John Magufuli katumia busara sijawahi japo inawezekana lipo!

JK alikuwa na sifa za kuwa kiongozi japo ni chache. Kilichomponza yeye ni zile safari na kuacha nchi peke yake mara nyingi zaidi hali iliyopelekea mambo kibao kwenda mrama.

Ila huyu wa sasa hata kusafiri hasafiri ila hizo bifu za ndani humu afadhali nae angekuwa mzururaji tupumue kidogo .
 
JK, pamoja na udhaifu wake wa kutokuwa strong wakati wa uongozi wake, ila ni mtu wa watu. Anajua kuishi na watu japo alitaka kushindwa kwa Kagame.
Kwa nini alitaka kushindwa kama ni mtu wa watu? Kwa nini tusiende kuwaomba viongozi wa dini wake watawale kama tunatafuta mtu wa watu atakayekugeuzia shave la pili baada ya kumtwisha la upande mmoja?
Hivi nyie ndio wale wahenga walidai Nyani haoni kundule nini? Kama si hivyo kwa nini mmesahau kuwa, wao Wakenya kwa ujinga wao ndio walianza kwa kupiga marufuku uingizwaji nchini kwao mitungi ya gesi na kuathiri biashara ya watu wetu waliokuwa wakiuza nusu ya mitungi yote nchini Kenya?
Nyie ndio mlitukanwa kuwa, mnafikiria kwa kutumia masaburi?
 
Hakika kama Rais Kikwete angejua yatakayo tokea baada ya kuondoka madarakani kuhusu uhusiano wa Kenya na Tanzania asingesubutu aslani kutamka haya aliyo yasema.
Sikilizeni wenyewe kisha mtoe maoni. Na ingekuwa vizuri kama wale waandishi nguli wamuulize sasa nini msimamo wake kwa sasa kuhusu haya malumbano ya kidplomasia?

Ukimsikiliza hutaki amalize, he knows how to control the audience
 
Back
Top Bottom