BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Hakika kama Rais Kikwete angejua yatakayo tokea baada ya kuondoka madarakani kuhusu uhusiano wa Kenya na Tanzania asingesubutu aslani kutamka haya aliyo yasema.
Sikilizeni wenyewe kisha mtoe maoni. Na ingekuwa vizuri kama wale waandishi nguli wamuulize sasa nini msimamo wake kwa sasa kuhusu haya malumbano ya kidplomasia?
Mahusiano yalikuwa mazuri kwasababu tulikuwa tunasuasua ki maendeleo. Ukianza kujikwamua ki uchumi lazima jirani akuchukie.