Kikwete na semna elekeza viongozi

Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,806
621
Kweli Rais asiye makini tunaye, kikwete alitumia fedha nyingi sana kualika viongozi na wakuu wamikoa huko ngurudoto, na kutueleza kuwa ni semina elekeza viongozi.

Sina uhakika kama ilifanya kazi, ila ni moja YA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA ambayo inabidi kumfungulia mashitaka pindi anapomaliza uongozi wake.

WAnajamii naomba mawazo yenu kwa mtazamo wa zile semina ambazo sijui hata ziliishia wapi.?

Na ninahisi, hata alikuwa anampa dili jamaa yake Maana inasemekana kuwa ile hoteli ni ya LOWASA.
 
Hiyo si ni hoteli yake? anajaribu kuongeza salio. Miaka ya nyuma aliwahi kufanya hivyo but it never worked!
 
DAH!! ina maana Ngurdoto ni ya Kikwete?. Nilikuwa sijui,kweli inatisha kama hela zetu zinatumika kiaina hiyo wakati watu wanahangaika kutozwa kodo za kiwizi alafu wanjiongezea kwa upande wa kibiashara zaidi.KWELI TUNAHITAJI MABADILIKO...
 
Kweli Rais asiye makini tunaye, kikwete alitumia fedha nyingi sana kualika viongozi na wakuu wamikoa huko ngurudoto, na kutueleza kuwa ni semina elekeza viongozi.

Sina uhakika kama ilifanya kazi, ila ni moja YA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA ambayo inabidi kumfungulia mashitaka pindi anapomaliza uongozi wake.

WAnajamii naomba mawazo yenu kwa mtazamo wa zile semina ambazo sijui hata ziliishia wapi.?

Na ninahisi, hata alikuwa anampa dili jamaa yake Maana inasemekana kuwa ile hoteli ni ya LOWASA.

Ndugu bado hujajua tu?ile ilikuwa semina elekezi kwa uliowataja ili kuusaidia mtandao wa mafisadi kukwapua mali na utajiri wa nchi yetu na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom