Kikwete na semna elekeza viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na semna elekeza viongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiherehere, Nov 22, 2010.

 1. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kweli Rais asiye makini tunaye, kikwete alitumia fedha nyingi sana kualika viongozi na wakuu wamikoa huko ngurudoto, na kutueleza kuwa ni semina elekeza viongozi.

  Sina uhakika kama ilifanya kazi, ila ni moja YA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA ambayo inabidi kumfungulia mashitaka pindi anapomaliza uongozi wake.

  WAnajamii naomba mawazo yenu kwa mtazamo wa zile semina ambazo sijui hata ziliishia wapi.?

  Na ninahisi, hata alikuwa anampa dili jamaa yake Maana inasemekana kuwa ile hoteli ni ya LOWASA.
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hiyo si ni hoteli yake? anajaribu kuongeza salio. Miaka ya nyuma aliwahi kufanya hivyo but it never worked!
   
 3. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  DAH!! ina maana Ngurdoto ni ya Kikwete?. Nilikuwa sijui,kweli inatisha kama hela zetu zinatumika kiaina hiyo wakati watu wanahangaika kutozwa kodo za kiwizi alafu wanjiongezea kwa upande wa kibiashara zaidi.KWELI TUNAHITAJI MABADILIKO...
   
 4. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Alieitaj semina elekez zaid na shule kabisa ni jk mwenyewe
   
 5. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ndugu bado hujajua tu?ile ilikuwa semina elekezi kwa uliowataja ili kuusaidia mtandao wa mafisadi kukwapua mali na utajiri wa nchi yetu na si vinginevyo.
   
Loading...