Kikwete na OPEN HEART SURGERY MUHIMBILI!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na OPEN HEART SURGERY MUHIMBILI!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Oct 28, 2010.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Salam sana wana Jf,mimi naingia hapa JF kwa mara ya kwanza na kwa lengo moja tu,kumueleza Kikwete na timu yake feki waache kuwafanya watanzania wajinga.nasisitiza kuwa kikwete na timu yake kwani yawezekana hajui analosema au anafanya makusudi kupotosha.ni mengi ya uongo yanasemwa ila hili linalohusu afya ni kero kwangu na watz wote kwa ujumla kuendelea kulisikia.Eti Muhimbili wanafanya Open Heart surgery hivyo sasa hatuna haja ya kwenda India etc.ukweli ni kwamba Muhimbili bado wako katika mchakato wa kufikia mafanikio yanayosemwa na kikwete.eti anasema wataalamu karibu 47 hivi wamesomeshwa na wanafanya OHS(wanafungua vifua) bila wasiwasi.hii si kweli.ni kweli kuna madaktari walipelekwa Israel na kwengineko kujifunza baadhi ya mambo yanayohusiana na Vasicular surgery(upasuaji wa mishipa ya damu).ni kweli mchakato wa kuanzisha kitengo cha magonjwa ya moyo kitakachohusisha upasuaji wa moyo,ni kweli kwamba wataalamu wetu wanafanya baadhi ya procedure ndogondogo ili kuangalia ufanisi na changamoto za kuanzisha OHS(msinikoti vibaya sina maana ya majaribio kwenye miili ya watu).tatizo langu hapa ni kwamba mwanasiasa huyu uchwara anayependa sifa na kuona watanzania wote wapo UMASAINI au kule kIROMO na wasiojua au kuweza kufuatilia mambo,anajaribu kuingilia mipaka ya profession.namuomba kikwete ajikite kwenye siasa na asiingilie weledi tena eneo hili muhimu linalohusu afya ya mtu.ombi langu kwenu wanJf :nujua kuna medical personell ambao wantumia jukwaa hili kupata habari na kuelimisha.naomba msaada wenu katika kulielezea hili swala kwa mapana.LENGO LANGU SIO SIASA HAPA ILA SIASA IMEINGILIA MIPAKA YATAKA KUCHEZEA UHAI WANGU,NDUGU ZANGU NA WATZ WENZANGU.

  UPDATES
  Leo hii Mheshimiwa Rais mstaafu anaingia kwenye vitabi vya kumbukumb na historia katika afya hasa hasa afya ya moyo.

  Kitengo cha upasuaji wa moyo Muhimbili kinafanya operesheni ya kwanza ya kwekeza kifaa cha kupanga mrindimo yaani pacemaker kwenye moyo wa mtanzania kwa mara ya kwanza.

  Sifa zimrudie JK kwa kulisimamia hili baada ya criticism kutoka kwa wadau wa afya.o
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  When I was a boy I was told that anybody could become President; I'm beginning to believe it.

  - Clarence Darrow
   
 3. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Dr Masau yu asemaje?
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mkuu,
  kwanza KARIBU SANA,
  pili KWA NIABA YA PAKAJIMMY naomba upitie hizi sheria:
  JamiiForums Rules

  SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

  Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

  1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

  2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

  3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

  4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.

  5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

  6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

  7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

  8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

  Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.

  Other Rules to be noted:

  1 - Flaming, Bashing, and Trolling:

  Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (aka trolling) is also asked to be avoided.

  2 - Profanity:
  Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

  3 - Spam:
  Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.

  4 - Email & Private Message Spam:
  If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

  5 - Piracy, and Warez:
  We do not mind discussions about piracy or warez, as long as they are just that...discussions. Linking or giving information about any site that distributes illegal software, or warez, seeking help to circumvent any copyright laws, or encouraging software or media piracy grounds for an immediate ban.

  6 - Impersonating Other Users / Accessing Another User Account:
  You may not impersonate another board member or create an account specifically for the purpose of provoking other users. Also, accessing or using someone else's account or attempting to access another poster's account is strictly prohibited. You will be banned.

  7 - Off-Topic Posts:
  There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

  8 - Circumventing a Ban:
  If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

  9 - Nudity / Porn:
  Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.

  10 - Signatures & Avatars:
  We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 100x100 pixels or less. No adult, drug related or racist content please.

  11. Do not post any copyrighted material unless the copyright is owned by you, except for brief credited excerpts to illustrate a point;

  12. You will not post what is commonly called spam, which includes but is not limited to such things as advertisements, chain letters, pyramid schemes, solicitations, or promoting a particular cause or organization. Exceptions may be granted for worthy (in our sole opinion) causes if you obtain prior permission from us;

  13. We reserve the right to ban any user temporarily or permanently, refuse posting from screen names we find offensive, edit or delete any post, limit postings on any topic, and shut down any topic altogether, for any reason, or no reason, without explanation or warning.

  14. You are solely responsible for the content of your messages. We cannot verify content and thus accept no responsibility for it, nor do we vouch for the accuracy, completeness, or utility, of any message or the qualifications of any user.

  15. Do not post private messages at JamiiForums or elsewhere without the express permission of the sender of the Private Message.

  16. Do not engage in internet stalking. This includes, but is not limited to, following a JamiiForums member from site to site, or from thread to thread within this site; taking posts from JamiiForums in order to attack a poster at another site; and attempting to defame or discredit JamiiForums members on other sites for views they may have expressed at JamiiForums.

  17 - Questionable Content:
  Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.
   
 5. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jack, unashangaa kwa hilo la OHS???? Mbona kuna issues nyingi tu wanasema wanapokuwa kwenye majukwaa ya siasa ambacho hakiko sawa na hali halisi???? Angalia wanaposema mafanikio waliyopata juu ya elimu. Watakwambia shule kibao, wanafunzi wengi saana na data kwa maana ya idadi yao wanaoingia na kutoka watakupatia. Hakuna hata mmoja atakayesema au kugusia ubora wa hao wanafunzi wanapomaliza shule zao. Kwa wengi wetu tunaofuatilia masuala ya nchi tunayaelewa haya, tatizo ni ndugu zetu na hasa hawa wenye kuvishwa kofia, mashati, fulana, khanga na vitambaa vya njano na kijani,wanachojua wao ni kushangilia tu na kutamba mitaani bila kufanya analysis ya wanachoambiwa.
  IKO SIKU WATAKUJA ELEWA HALI HALISI
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Kilichobaki ni kumshikisha adabu kupitia sanduku la kura aende zake huyooooo antia aibu sana.

  Hata CV yake nimeinona leo kwenye gazeti la Raia mwema haijai hata page moja wa nini huyu ?????? Muoga wa mitihani ndiyo maana kamtuma waziri wake atueleze kuanzia sasa mwanafunzi atasoma hadi F.IV bila kufanya mtihani wowote. Kwa akili ya kawaida huhitaji kuelezwa na mtu kuwa kikwete shule yake ni QUESTIONABLE. Ogopa mtu anayekwepa kufanya QUIZ, TEST , examination interview ect

  PIGA CHINI JK na serikali yake mbofumbofu
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  huyu JK huwa anasema tu lkn hajui ni kitu gani wala impact yake yeye ili mradi katumwa na mafisadi basi waTanzania tuendelee kufa tu
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ni jukumu la wataalamu kusimamia taaluma zao
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  JK ni muongo aliyekubuhu kutokana na uchu wa kukaaa madarakani. Mafisadi wachache wa asili ya Kiasia ndiyo wanajenga akae Ikulu ili wafaidike. JK Ni mzigo mkubwa sana kwa Watz -- watanzania hawajui -- wengi hawaoni ubabaishaji wake na usanii. Lakini nafikiri sasa Watz wameshaanza kumshitukia.
   
 10. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi nimeshaamua kumfukuza kazi rais jumapili hii. Naomba mniunge mkono ili tumfukuze mara moja.
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyu kwe ni Raisi au Rahisi maana hata jana Prof. Lipumba alisema ni "matatizo sana kuwa na Rahisi mkwere..." Maana hana tija wa dira ni uswihili na uswahiba tu kama Antonio Nugas wa kule Cloooodsss Supa FM
   
 12. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 521
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hizi siasa kwaenye professionals ndio zimeharibu chuo kikuu cha DSM kabisa! Sasa kama zitaingizwa tena kwenye maswala ya afya, nafikiri taifa litaangamia!!
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Umenikumbusha mkuu... nakumbuka hata mtihani wa darasa la nne yeye ndiye alishauri ufutwe
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  JK wetu, kaazi kweli kweli!
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2016
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani bandiko hili lilitoa somo zuri sana kwa Rais mstaafu na aliacha kuliongelea hili kisiasa na badala yake alilifanyia kazi na hatimaye leo hii tumeanza kuona Ukweli wa kitaalamu juu ya hili.

  Nimpongeze aliyekuwa daktari wa Rais...Dr Janabi kwa kulifikisha jambo hili hapa lilipo.

  Naweza kuwa proud na hiki kilichofanywa na wataalamu na kupata sapoti ya wanasiasa hasa hasa mwanasiasa JK.

  Cha msingi tusonge mbele kwa manufaa ya Tanzania.

  Long live JF kwa kumbukumbu hizi!
   
 16. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2016
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,609
  Likes Received: 6,774
  Trophy Points: 280
  Naona kwenye bandiko lile Ulimuita " mwanasiasa uchwara" lakini hukuitwa " central" kuhojiwa, aisee tumetoka mbali
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2016
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kipindi hicho tulikuwa real na sio wafuasi !
   
 18. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2016
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,609
  Likes Received: 6,774
  Trophy Points: 280
  Hahah Bado unaamini jamaa alikuwa mwanasiasa uchwara?
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2016
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha...ni swali la mtego sana!

  Kwa kipindi kile cha kampeni alikuwa mwanasiasa uchwara lakini kwa mujibu wa taarifa za leo anaingia kwenye historia ya kuendeleza afya kitaifa.
   
 20. M

  Makusudically JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2016
  Joined: Feb 3, 2014
  Messages: 1,814
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  Haihitaji kuwa na Degree 7 kujua ujinga wa mtoa mada.
   
Loading...