Kikwete na Nape Nnauye, laana ya kushusha hadhi ya CCM itawatembelea milele

Lait Kikwete angekua ni mwenyekiti wa Chama cha Upinzani kwa haya yanayotokea angeitwa MSALITI na pia huenda angeshapinduliwa. Lakini pia kwa haya yanayoendelea ndani ya CCM ni kwamba kinachofanya wana CCM wamvumilie ni kwakua anaishi Lithuli ila angekua hana kofia ya kuishi LITHULI wangeshamzingua. Ushahidi ni kwa ile hali iliyotokea Dodoma ambapo watu walionesha hisia zao dhahir shahir.
Ila ndio siasa hizo
 
Nyie ndiyo mmelaaniwa kushabikia uongo. Mi nachopingana na nyie mbweha wa UKAWA ni ufinyu wenu wa akili. Tena mna ujiinga wa kijiinga. Dr. Jakaya ataendelea kuwa moja ya marais bora kabisa walioonesha utawala bora. Kakataa kuuza chama. Nyie leo mmenunuliwa kwa bil 10 mnajiona wamaana. Kitu hicho hicho mlichopigania leo hii mnakikumbatia? Shenziii sana ninyi.

Mavi yako huna adabu ndoooooorooobo ww Taira plus plus hujitambui unakurupuka tuu kama ngir punga ww
 
Mkuu video imetoka tangu jana usiku hujaiona tu? Ndugai analalamika jamaa "anampiga" makamera.

acha kuchangany'a habari
.....pale yule mtu anachapwa kwa kummulika ndungai tayari tukio la kupigwa mpk kuzimia huyo mgombea mwenza lilikuwa limeshafanyika na ndo maana pale walikuwa wanamtuliza km mliona vizuri.
 
Wazee ni Hazina na kuwatukana na Laana. Ndio walioweka Misingi iliyowawezesha kikwete na wengine kuwa madarakani na walitumia rasilimali zao na za taifa kwa uadilifu kuwezesha chama kufikia kilipo sasa. Kikwete alianzana kuwaondoa kwenye maamuzi ya chama huku akisingizia kuwa walitaka wenyewe but Wazee hawa ndio walipaswa kuwa washauri na waamuzi kuendana na uzoefu wao ktk siasa na sio kwa watu kama nape. Kikwete Aliwakweka walugaluga NEC na Mkwewe Meghi kuwepo kwenye watoa maamuzi ya Taifa. Ameacha uadui mkubwa miongoni mwa waliomsaidia na walioamini wako naye at the end akawatosa. Huwezi mfanya mtu kama Maghufuli kuwa Raisi kwa kuwa anajulikana alivyo na maamuzi yake ya mihemuko. Yetu M
Masikini CCM inasubiri kuzikwa kutokana na viongozi kudharau matakwa ya wananchi.
 
Wana CCM kubalini matokeo kuwa uchaguzi huu wabunge mtakaowapata watakuwa wachache kupita maelezo. Huko bungeni kama hutakuwa na hoja, ni bora uwe kimya tu.
 
Heshima kwenu.

Rais Jakaya Kikwete amefanya makosa makubwa mawili ambayo anayajuta na atajutia milele...hii itakuwa historia ya jina lake kukabidhi dola kwa wapinzani.

Moja..mh.amekiuka kanuni na taratibu za chama katika kumpata mgombea uraisi kupitia ccm..ameyafanya haya kwa mlengo wenye ubinafsi na wenye lengo la kuitawala Tanzania hata awapo msata.


Mbili..mheshimiwa AMEPUUUZA MAONI YA WANANCHI.Hakika hili pia ni kosa alilolifanya Kikwete na litamtafuna..tunajua kuna utaratibu wa kumpata mgombea kwa kukusanya maoni ya wananchi..jk amepuuza maoni yetu na amesikiliza maoni ya kikundi chake na chenye mlengo hasi na Taifa letu.


Mwalimu Nyerere alitusihi na akasema...CHAMA KITAKACHOPUUZA MAONI YA WANANCHI...........
..

UKAWA tunakushukuru sana Kikwete kwa busara zako binafsi na chuki zako binafsi..tunasema asante sana.
 
Wenye Akiri Tulishajua Ya Kwamba Ilikuwa Ni Swala la Muda tu, Tuliona Chuki na Kusikia Makundi Yakiasimiana na Ndipo Tukajua Lililo

na Mwanzo Halikosi Mwisho. Wahenga Walisema Fahari Wawili Hawakai zizi Moja na Urafiki wa Mashaka Umedhihilika.
 
kila mwanasiasa anatumia maneno ya nyerere. mfano nyerere alisema anae ng'ang'ania kwenda ikulu huyo tumwogope kama ukoma. lowassa sipingani na yeye kuja chadema ila ninawasiwasi mmoja kwanini asingekuja akawa mwanachama wa kawaida au akagombea ubunge alafu mwaka unaofuata wa uchaguzi ndio akagombea? hii mm naona kama vle anaitaka ikulu kwa udi na uvumba. kama ni hivyo mwalimu nyerere anasema ikulu sio pa kukimbilia kule ni mahali pa matatizo . sasa sijui lowassa ana lengo gani
 
Back
Top Bottom