nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,515
- 20,005
rais ameombwa kuminya kiuchumi vyombo vya habari binafsi ili kuimarisha vijarida vitakavyoanzishwa na UVCCM.Mawasiliano kati ya viongozi wa umoja huo yanaonyesha kumwomba rais JK kumuagiza katibu mkuu kiongozi kuelekeza taasisi na mashirika ya umma kutoa kipaumbele cha matangazo kwa vijarida vya uvccm
MWANAHALISI:6/4/2011..read more
MWANAHALISI:6/4/2011..read more