Mawe Madito
Member
- Jul 11, 2015
- 18
- 1
Ya EL yameisha..sasa ni mbele kwa mbele
Bado nazingoja siku chache sana kwa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi akiwemo Mwenyekiti wao kukutwa na aibu kubwa ambayo hawataweza kuizuia.
Ndugu zangu jambo hili halihitaji uwe na macho sita au vichwa viwili au kilo 100 za ubongo au uwe una kipaji maalum ndipo utambue kwani jibu lolote la UBAYA mwishowe huwa ni AIBU.
Kama kigezo cha URAIS ni USAFI na UADILIFU basi CCM hakuna hata mmoja ambaye angepita kati ya majina yote yale LAKINI kwakua viliwekwa vigezo vingine vingi saidizi nina imani Mzee Lowasa aliwazidi wengine wote na hilo limejidhihirisha jana mbele kabisa ya Halmashauri Kuu baada ya wajumbe wote kuimba kwa kumsifia Lowasa mbali na kuwa jina lake halikuteuliwa katika Tano Bora.
Dhambi hii ya usaliti wa Kikwete kwa rafiki zake itamtafuna daima kwa uoga wa kuwajibishwa kwa maovu yao mengi waliyoitendea nchi yetu pamoja na watanzania.
Nina Imani Safari ya Matumaini ya Mzee Lowasa haitakufa mpaka malengo yake yatimie na jambo hili ni wazi kwa sababu tayari mzee huyu alikwisha pokelewa na kukubaliwa na watanzania.
Hapa nayakumbuka maneno ya kiongozi mmoja wa dini alisema...."Mungu akitaka kumuangusha mti humtia uchizi ili asione pale anapokosea na mwishowe kuanguka"
Nami leo nimeuona uchizi uliowekwa ndani ya CC, Kamati ya Maadili na kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na kwa hiyo wataanguka tu mbele ya Lowasa siku si nyingi.
Kama malengo ya Lowasa ni kutatua shida za watanzania, kuwatumikia na kuwainulia maisha yao kwa kuongeza kasi ya kukua kwa Uchumi Mdogo na ule Mkubwa basi nia hii bado inaweza kutekelezeka ama ndani ya CCM ama nje ya CCM kisha akina Kikwete watakuja kutuambia kwanini walikua wanamuogopa Lowasa!
Ni jambo la kweli, Magufuli Urais alikua anajaribu tu na hakua amejiandaa kwa namna yeyote ile kuwa kiongozi wa juu wa Taifa na jambo hili litamfanya kuwa Rais atakayeburuzwa na maamuzi ya watu wengine kuliko hata Rais aliyekwisha mtangulia na hapa ndipo alipokua anasema Lowasa anahitajika Rais mwenye maamuzi magumu.
Kitu cha pili, Urais sio Chama, Urais ni MTU ndio mana hata Kikwete awamu ya kwanza alishinda kwa zaidi ya asilimia 80% kwa sababu watu walimpenda mtu na sio chama kadharika kwa jambo hili watu walimpenda Lowasa sio CCM.
Ndugu zangu, AIBU HII isiyokwepeka itamkuta kila unayemjua amepindisha na kumharibia aliyestahili kuwa mgombea kupitia CCM na kuwa Rais wa Tz kwa awamu ya Tano.
Hivi karibuni sana mambo haya yatajiri...
Rafiki Mnafiki na mwenye wivu ni hatari sana zaidi hata ya shetani.
Itakuwa kosa kubwa sana Lowassa kwenda ACT.., the best move is for him to support the strongest party or to support UKAWA ..., ili aweze kupata pia sympathy ya watanzania wa kawaida na kulindwa na opposition...
Bado nazingoja siku chache sana kwa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi akiwemo Mwenyekiti wao kukutwa na aibu kubwa ambayo hawataweza kuizuia.
Ni jambo la kweli, Magufuli Urais alikua anajaribu tu na hakua amejiandaa kwa namna yeyote ile kuwa kiongozi wa juu wa Taifa na jambo hili litamfanya kuwa Rais atakayeburuzwa na maamuzi ya watu wengine kuliko hata Rais aliyekwisha mtangulia na hapa ndipo alipokua anasema Lowasa anahitajika Rais mwenye maamuzi magumu.
Rafiki Mnafiki na mwenye wivu ni hatari sana zaidi hata ya shetani.
''Halija alimselema Halija alimselema'' Dr Magufuli.
''Wasioweza kulipa wakapige Mbizi'' Dr.Magufuli
Well said mkuu, binafis mimi siyo staunch supporter of this fisadi lakini namhitaji mno wakati huu ili akimalizie mbali CCM. Kwanza in my wishful thinking and understanding, this part died Friday night. Kwa rekodi yake mbaya politically asahahu kugombea urais, badala yake macho yake aelekeze kwenye ubunge wake ambao ni 100% wamasai watampa - ila nje ya CCM kwani SINTOSHANGAA JINA LAKE LIKICHINJWA KWENYE CC AKIOMBA UBUNGE KUPITIA CCM.
It's high time for this fisadi to realize that he'll be more safe politically -to retain his MP seat and commercially (as long as he adhere to the laid down principles) with another party than CCM. Rafiki yake mkwere ni mnafiki mno, yeye na familia yake wamegeuza chama kuwa mali yao na wanataka kuhakikisha EL anatoweka au anafilisika kisiasa na kibiashara.
Lowasa atoke CCM na wafuasi wake, halafu tuone kwenye uchaguzi watapata nini, kuanzia udiwani, ubunge na urais.
The writings are clerly on the wall: TANZANIANS ARE TIRED WITH CCM POLITICS, EVERYBODY NEED CHANGES. Hawataki tena rais wa kuendeshwa kwa remote...........
lowasa mwenyewe kashakubaliana na hali halisi ya kilichotokea jamani
Aje ACT agawe kura za ccm.
Bado nazingoja siku chache sana kwa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi akiwemo Mwenyekiti wao kukutwa na aibu kubwa ambayo hawataweza kuizuia.
Ndugu zangu jambo hili halihitaji uwe na macho sita au vichwa viwili au kilo 100 za ubongo au uwe una kipaji maalum ndipo utambue kwani jibu lolote la UBAYA mwishowe huwa ni AIBU.
Kama kigezo cha URAIS ni USAFI na UADILIFU basi CCM hakuna hata mmoja ambaye angepita kati ya majina yote yale LAKINI kwakua viliwekwa vigezo vingine vingi saidizi nina imani Mzee Lowasa aliwazidi wengine wote na hilo limejidhihirisha jana mbele kabisa ya Halmashauri Kuu baada ya wajumbe wote kuimba kwa kumsifia Lowasa mbali na kuwa jina lake halikuteuliwa katika Tano Bora.
Dhambi hii ya usaliti wa Kikwete kwa rafiki zake itamtafuna daima kwa uoga wa kuwajibishwa kwa maovu yao mengi waliyoitendea nchi yetu pamoja na watanzania.
Nina Imani Safari ya Matumaini ya Mzee Lowasa haitakufa mpaka malengo yake yatimie na jambo hili ni wazi kwa sababu tayari mzee huyu alikwisha pokelewa na kukubaliwa na watanzania.
Hapa nayakumbuka maneno ya kiongozi mmoja wa dini alisema...."Mungu akitaka kumuangusha mti humtia uchizi ili asione pale anapokosea na mwishowe kuanguka"
Nami leo nimeuona uchizi uliowekwa ndani ya CC, Kamati ya Maadili na kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na kwa hiyo wataanguka tu mbele ya Lowasa siku si nyingi.
Kama malengo ya Lowasa ni kutatua shida za watanzania, kuwatumikia na kuwainulia maisha yao kwa kuongeza kasi ya kukua kwa Uchumi Mdogo na ule Mkubwa basi nia hii bado inaweza kutekelezeka ama ndani ya CCM ama nje ya CCM kisha akina Kikwete watakuja kutuambia kwanini walikua wanamuogopa Lowasa!
Ni jambo la kweli, Magufuli Urais alikua anajaribu tu na hakua amejiandaa kwa namna yeyote ile kuwa kiongozi wa juu wa Taifa na jambo hili litamfanya kuwa Rais atakayeburuzwa na maamuzi ya watu wengine kuliko hata Rais aliyekwisha mtangulia na hapa ndipo alipokua anasema Lowasa anahitajika Rais mwenye maamuzi magumu.
Kitu cha pili, Urais sio Chama, Urais ni MTU ndio mana hata Kikwete awamu ya kwanza alishinda kwa zaidi ya asilimia 80% kwa sababu watu walimpenda mtu na sio chama kadharika kwa jambo hili watu walimpenda Lowasa sio CCM.
Ndugu zangu, AIBU HII isiyokwepeka itamkuta kila unayemjua amepindisha na kumharibia aliyestahili kuwa mgombea kupitia CCM na kuwa Rais wa Tz kwa awamu ya Tano.
Hivi karibuni sana mambo haya yatajiri...
Rafiki Mnafiki na mwenye wivu ni hatari sana zaidi hata ya shetani.
Masahihisho kwenye red: Urais TAASISI......