Elections 2010 Kikwete na Dr. Slaa ni marafiki

Boramaisha

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
820
14
Ukiichunguza sana picha hii utagundua mambo kadhaa wa kadhaa kutokana na body language. Binasfi naona Dk. Slaa amecheka akonyesha moyo mweupe kabisa usio na waa kwa JK kama Rais wa nchi wakati huo. Angalia JK, unaweza kusema anaonyesha nini? Dharau kwa mwenziwe aliyecheka kwa furaha kwa moyo mweupe?
 

Ngangasyonga

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
455
70
Ukiangalia picha utagundua kwamba mkwere amasoma kitu pale, sasa kimemshinda akatafuta clarification kwa slaa, slaa akamfafanulia akamalizia na kumchekaa, kumbe ni kitu kidogo tu!!:cool:
 

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
46
Picha ya kuunga hiyo! Tazama texture ya picha kwa Dr. Slaa ni ya aina mbili kuu: More brighter chini ya mifuko ya shati na relatively dull juu yake. Hii ni cut and paste..., nk


Kati ya JK na Dr. Slaa, kuna difference in light CONTRUST. Kwa JK ni brighter, kwa Dr. Slaa ni dull. Uchakachuaji wa picha unamakosa mengi ya kiufundi.

Don't waste your time with this fake photo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom