Kikwete na CCM Wako chini Kagera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na CCM Wako chini Kagera

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sophist, Sep 28, 2010.

 1. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,086
  Likes Received: 1,731
  Trophy Points: 280
  Ndugu,
  Ndio kwanza narejea kutoka mkoani Kagera. Nimefika majimbo ya Nkenge, Bukoba Mjini, Bukoba Vijijini na Muleba Kaskazini. Watu nilioongea nao, wengi takribani 60% wameonyesha na kutamka wazi wazi kuwa hawatakuwa tayari kumchagua Jakaya Kikwete. Wanazo sabaabu zao; halin ngumu ya maisha, rushwa katika vituo vya afya (matibabu), elimu duni inayotolewa na shule za kata, na zaidi ya yote, kuzuiwa kuvua samaki. Wananchi wa kata za Rubafu, Katare, Kishanje, Kaagya, Buhendangabo, Ibosa, Kahororo, Maruku, Kemondo na nyinginezo, wengi wao wakiwa ni wavuvi wa asili, wanasema kitendo cha kuharamishwa kuvua samaki ndicho kimewatenga na CCM.Kikwete. wanasema, "ichweee, Kikweete chei". Sawa na madai yao, kweli ukiwaangalia unaona walivyo kongoloka kwa kukosa lishe ya samaki. Kwa nwanachi kama 30 hivi niliopata kuzungumza nao, hasa wale wa mialoni, wanasema kura zao watampigia Dr, Silaa. Kazi kwenu CHADEMA ku-seize hiyo fursa.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hata wilaya zingine za Karagwe na Nkenge na Muleba, Kikwete labda arudi tena na kutoa ahadi mpya. Hana kitu. Mimi nilifanya utafiti nikagundua anashindwa kwa 70%.
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  habari njema haswa
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Kikwete aka KIHERE HERE kwishnei. WERA WERAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!
   
 5. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa Hujuma alizo zifanya JK simpatii picha atakapokuwa akiburuzwa Kortini hapo mwakani.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,700
  Trophy Points: 280
  Lenye mwanzo lina mwisho.

  JK alifikiri anaweza akaongoza atakavyo sasa kukiona cha motoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 7. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kwenye nyekundu Mh ???????,Hiyo takwimu ni kati ya wapiga kura wangapi?
   
 8. E

  Eddie JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka watu wapo kwenye kujifurahisha, hata hilo nalo mwataka kuwanyima?
   
 9. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,086
  Likes Received: 1,731
  Trophy Points: 280
  Akagunju kalafa.................
   
 10. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha wafurahi. Ila wakijifanya sijui kuingia msituni, hapo ndiyo watakapojua kilichomtoa kanga manyoya. Teh teh teh :becky: :becky: :becky:
   
Loading...