Elections 2010 Kikwete na CCM kushinda kwa kishindo - REDET

Status
Not open for further replies.

Mkodoleaji

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
458
138
Utafiti wa kura za maoni uliotangazwa na REDET umeonyesha kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo, CCM na Kikwete wangeshinda kwa zaidi ya asilimia 70.

Sources: Channel Ten, StarTV, TBC
 
Wanajidanganya..Hawatazifikia hizo asilimia lakini pia hivi asilimia 70 ni kishindo?REDET ni wale wale tu...Tusubiri Oktoba tuone.
 
Mwaka 2005 alipata 84%. Zimekwenda wapi hizo zingine? Lakini nakubali atashinda bcoz ours is a unique country -- sheep for humans!
 
Jamani hii ni kweli, wametupima wametuona na wameona ni 30%ya watanzania wote ndo walio amka, na 70% ndo bado wamelala wasiojua lolote, na hao ndo watakaomchagua mheshimiwa sana.

Tuchangamke tuwaamshe waliolala jamani, maana hii itakuwa haina maana kwetu tulioamka!!!!
 
Hivi kwanini REDET hawajawauliza wana CCM na Watanzania kama wanataka Kikwete awe mfalme na wawaone watu wangapi wataunga mkono wazo hilo!!
 
REDET nao mara nyingine wananishangaza sana na hizi tafiti zao. Zinaleta tija gani?
 
Naangalia hawa jamaa wa Goldman Sachs wakitestify katika kamati ya Bunge la SENATE Marekani.
Je Kamati ya Bunge ya Cheyo imeshahoji mtu yoyote wa Maremeta,EPA,BOT ,Ununuzi wa ndege ya Raisi,na kadhalika?

70% ni mambumbu ,wamedanganywa tangu Uhuru.
Kama wewe mTZ uko majuu unajali nchi hii,unapoteza muda.Piga mabox yako,somesha watoto wako kama unao,nchi yetu ina stink.Hata viongozi wetu wanajua hilo,ndio maana kila siku wako Ulaya kupumzika.
 
ndugu jamaa na marafiki tafiti hazipigwi na maneno. zinapigwa na tafiti . najua wengi hamkutaka kusikia majibu ya tafiti yakiwa hivyo bt too bad ndo utafiti huo.70% wengine wote watapata 30% as in CHADEMA , CUF, TLP ,UDP,DP na wengine wote..........
 
mawazotu
user-online.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Tue Apr 2010
Posts 1
Thanks 0
Thanked 2 Times in 1 Post

Karibu sana JF.
 
Kwa vyombo vya habari na jinsi vinavyotoa elimu ya uraia, asilimia 42.7 ya wahojiwa waliridhika na utendaji wake ambapo redio ziliongoza kwa asilimia 73.7, televisheni asilimia 41.6 na magazeti asilimia 27.4 na upande wa magazeti gazeti la Daily News liliongoza kwa kusomwa sana kwa asilimia 25.6, Mwananchi asilimia 17.1 na Nipashe asilimia 12.4.
Kweli REDET wamebobea kwa uongo, kwa akili ndogo tu hivi kweli Daily News linaongoza kwa kusomwa sana na watu,vijijini au mijini? hapa tu inadhihirisha kuwa utafiti umefanyika maofisini hasa ofisi za serikali na hii inanifanya nitilie mashaka utafiti wao kama ni wa kweli au wa kubuni na kufurahisha watu wao.

Utafiti unatakiwa uendane na hali halisi iliyopo huwezi kusema utendaji wa serikali unaendelea vizuri wakati huohuo unasema 2/3 ya wabunge wao ambao ndio wanaunda serikali wameonekana hawatarudi maana yake hawafai, I believe in research but I dont trust every research.
 
Mkuu nakuunga mkona kwa hii hoja, February nilikuwa bongo basi kila ukikutana na mtu anauza magazeti ukimwita anaanza kukupa kiu, ijumaa, uwazi and the likes, ukimwambia huwa husomi hayo magazeti anaanza kukpa Dimba, Spoti,Simba and the likes. Unamuuliza o.k nitajie magazeti uliyonayo Utatjiwa mwananchi, daima, majira ,nipashe etc.

Unamuuliza vipi haya mengine (Citizen, Daily News, East African, The Express etc.) huuzi?????????? Hapo ndio anashtuka na kuanza kuyanadi pia hayo. This was in one of the porsche areas in Dar. I experienced this about four times. Well inawezekana kabisa hiki si kipimo cha, ni gazeti gani linasomwa sana lakini inareflect jamii yetu iko vp na inapendelea nn ifikapo wakat wa kununua na kusoma magazeti............. Sasa kuniambia eti Daily news inasomwa sana ni topic ambayo siielewi nahitaji kujuzwa!!!!!
 
ndugu jamaa na marafiki tafiti hazipigwi na maneno. zinapigwa na tafiti . najua wengi hamkutaka kusikia majibu ya tafiti yakiwa hivyo bt too bad ndo utafiti huo.70% wengine wote watapata 30% as in CHADEMA , CUF, TLP ,UDP,DP na wengine wote..........

Sasa ebu tumbie wewe mwenzetu kwa huu utafiti uliofanywa na hao hao REDET miaka ya nyuma unauelewewaje

asilimia zaidi ya 70% ya wananchi hawaridhiswi una utendaji wa mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali ya JK

Hoja yangu hawa maafisa waandamizi waliteuliwa na JK au JK alikuwa ana uwezo wa kutengua uteuzi wao kama alifanya kwa liyumba.

Kwa hiyo ukitafakari na ukifaya detail anylysis kwenye research za REDET utagundua kuna ambiguity kama sio contradiction kwenye tafiti zao.

utata unakuja nakuja kama watu 70% wanampenda JK na watu zaidi ya 70% hawaridhishiwi na utendaji wa viongozi JK anaowateua .????? Tuelewe nini

Kwamba JK anapendwa sababu yuko presentable zaidi.?????

Na ingekuwa vizuri hizi tafiti zingeeleza hao waliohojiwa ni kwa nini wanampenda JK ni sababu z a sera za kiuchumi, kijamii, au sababu za kiamani na utulivu(CCM way)
 
Mi nadhani hao 70% ni wale ambao JK mwenyewe alisema wanafata upepo... Kwa hiyo hao REDET hawajafanya utafiti wa kisomi, ila wamerejea asilimia 70 ya wafata upepo na ndo ilikuwa reference yao wakati wakifanya utafiti uchwara!!
 
Sasa ebu tumbie wewe mwenzetu kwa huu utafiti uliofanywa na hao hao REDET miaka ya nyuma unauelewewaje

Hoja yangu hawa maafisa waandamizi waliteuliwa na JK au JK alikuwa ana uwezo wa kutengua uteuzi wao kama alifanya kwa liyumba.

Kwa hiyo ukitafakari na ukifaya detail anylysis kwenye research za REDET utagundua kuna ambiguity kama sio contradiction kwenye tafiti zao.

utata unakuja nakuja kama watu 70% wanampenda JK na watu zaidi ya 70% hawaridhishiwi na utendaji wa viongozi JK anaowateua .????? Tuelewe nini

Kwamba JK anapendwa sababu yuko presentable zaidi.?????

Na ingekuwa vizuri hizi tafiti zingeeleza hao waliohojiwa ni kwa nini wanampenda JK ni sababu z a sera za kiuchumi, kijamii, au sababu za kiamani na utulivu(CCM way)
Mkuu usiumize kichwa, hawa REDET wanaeleweka malengo yao ni nini

Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom