Rais wa mwisho wa USSR Bwana Mikhael Gorbachev inasemekana yeye alikuwa pandikizi la marekani katika kulivunja shirikisho la Soviet sasa huyu Profesa TD katumwa na nani maana muungano unavunjika soon na ccm ndio inaanguka
sikuona tofauti ya lile bunge na kipindi naangalia mechi ya manchester na arsenal unaishia klalamikia wenger ,kuingia uwanjani huwezi kufanya sub huwezi kelele zako wala hazisikii na wala hakujui na humfanyi kitu,tubadilike badala ya kuangalia wanasiasa wetu kama wachezaji mpira na sisi tuwe makamisaa na marefa akizingua apewe red cardMabadiliko yanatokea pale ambapo jamii inapokuwa tayari kukubali mabadiliko na yenyewe pia kubadilika ili iendane na mabadiliko yenyewe. Haitakiwi jamii iwe "observer" wa kinachotokea ukategemea mabadiliko. Je jamii ya Tanzania ipo tiyari kushiriki na kuwa sehemu ya mabadiliko?