jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Could be British style?
.
Siyo COULD BE...NI "THAAATS THAT!"
Could be British style?
.
Tutakukamata na kukutia pilipili machoni.Too much kelele na mikwara kibao
Tatizo la kuweka urafiki na Bush ni lipi??!!! Naona kumekuwa na Tabia ya ulalamishi hata pale pasipo na Msingi! ni Tatizo gani la kuwa rafiki na raisi mwingine na kuweka urafiki wa nchi?? Tabia ya ulalamishi inabidi tuiache hatutaridhika hata siku moja ni kushuku hiki na kushuku kile kila siku.