Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,733
- 40,846
"This sucks! am a poddle eh..!?"
"Do you see those mafisadi? " - Bush
"What mafisadi?" - Kikwete
"Kamu hiya!" - Bush
"Sitaki" - Kikwete
"This sucks! am a poddle eh..!?"
"Do you see those mafisadi? " - Bush
"What mafisadi?" - Kikwete
"Kamu hiya!" - Bush
"Sitaki" - Kikwete
JK anaonekana mwenye mawazo mengi sana!
Hana raha kabisa na hata tabasam lake halionyeshi furaha ya kweli.
Tusubiri aje na kutoa maamuzi ya haki kwa MTANZANI!
Kaazi kweli kweli!
Hiyo picha ya chini alikuwa ameng'ang'ania nini hapo dirishani?
hahaha!kutokana na datazi inasemekana muungwana alitaka kupitiliza seat yake sasa bush ndio akawa anamuonesha,jamaa kadata,yaani akirudi ndio sijuhi itakuwaje maana bush lazima atamzimua na mambo ya zimbambwe,nyumbani nako wabongo kila kukicha wanatalk about mafisadi,duh
yeah,hapo mbele kulikuwa na paparazi,kushoto kwa kisura kuna mlango ,kwa mbele zaidi u go to the seat,kisura alitaka kuikwepa hiyo picha wakati mzee bush alikuwa halijuhi hilo,so akamuona jamaa kama anataka toka nje,ikabidi ampull kiutu uzima.jamaa hataki aonekane kama yupo karibu sana na bush,si unajua waandishi wengi wa habari wapo kutaka kujua kinajiri nini kati ya kisura na bushi kuhusu issue ya zimbabwe.mie nakuambia kisura anajuta kupewa AU hasa katika kipindi hiki kigumuKiroboto nashukuru kwa dataz!
Lakini swali ni moja....
Hapo mbele yao ndio kwenye siti? Maana nyuma kuna mlango na Bush ni kama anamvuta ili wapate pause nzuri ya picha!
Hilo eneo linaonekana ni mahususi kwa upigaji wa picha!
Sasa siti ake aliipita na kwenda hadi dirishani?
Ama alitaka kwenda msalani kwa kuutumia mlango uliopo nyuma yao na ama dirisha na Bush akamwambia ngoja kwanza tupige picha ama nikuonyeshe siti yako?
Jamani...Hata CHENGE mwenyewe alijionyesha siti yake na huko UJEPU ni lazima siti ziko well organised kuliko za bunge letu lisilokuwa tukufu tena!
Collectively, the G-8 has delivered just $3 billion of the $25 billion in additional aid pledged to Africa in 2005, according to DATA, which stands for Debt, AIDS and Trade in Africa, a group founded by U2 singer Bono and music producer Bob Geldof, both of whom are active in campaigns for Africa.
Germany, the U.S. and Britain were following through on commitments, while progress from Japan, France, Italy and Canada was either unclear or weak, DATA said.
Labda bush anambembeleza walete military base tanzania, ndio akanuna hata hamu nae na anatafuta jinsi ya kumkwepa.
Othe other hand anaogopa kutabasamu as ataambiwa kisura! lipi jema kutabasamu na kuitwa kisura au kununa na kuambiwa hana raha
yeah,hapo mbele kulikuwa na paparazi,kushoto kwa kisura kuna mlango ,kwa mbele zaidi u go to the seat,kisura alitaka kuikwepa hiyo picha wakati mzee bush alikuwa halijuhi hilo,so akamuona jamaa kama anataka toka nje,ikabidi ampull kiutu uzima.jamaa hataki aonekane kama yupo karibu sana na bush,si unajua waandishi wengi wa habari wapo kutaka kujua kinajiri nini kati ya kisura na bushi kuhusu issue ya zimbabwe.mie nakuambia kisura anajuta kupewa AU hasa katika kipindi hiki kigumu
Maajabu ni kwamba..Kwenye hiyo G8 summitt...Kumbe hata pesa ambazo wameshatoa kwa makubaliano ya Afrika..Bado hazijafikia kiasi cha pesa ambazo mafisadi wameshakwapuwa!
Kwa mfano...Hadi sasa wameshatoa bilioni tatu za kimarekani na wakati pesa zaidi ya hizo zimekombwa na mafisadi chini ya miaka saba iliyopita!
Hivyo basi...Binafsi sitakubali msaada wowote uletwe Tanzania kabla ya mafisadi kukamatwa!
Nitapiga kelele sana tu!
Tutakukamata na kukutia pilipili machoni.Too much kelele na mikwara kibao
hivi huyu raisi wetu ana ma-stylists wakumsaidia kuchagua na ku-match pamba anazovaa?