Kikwete- Msimamo wake kwa Omari Bashir hadi Kulaani Mapigano ya Israel – Gaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete- Msimamo wake kwa Omari Bashir hadi Kulaani Mapigano ya Israel – Gaza

Discussion in 'International Forum' started by Shadow, Jan 4, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Should we call this double standard? Wakati ICC walipotoa warrant ya kukamatwa kwa rais wa sudan kwa sababu ya mahujaji ya weusi yanayooongozwa na waarabu kule Darfur, Mh. JK alilaani kile kitendo. Sasa hivi kupigwa kwa Hamas kule Gaza, JK amelaani.
  Kuuwawa kwa wakongo na wakina Laurent Nkunda, JK Kauchuna. Hivi inamaaminisha mtu mweusi hana thamani?
  Africans, we need to wake up!!
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2009
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Nchi zetu hizi zimekuwa zikiburuzwa kwenye maandamano yasiyo na maana yeyote kwenye bara letu.
  Nchi kama Russia haiwezi kuilaani Israel kwa vitendo vyake huko GEORGIA,CHECHENYA.
  Sudan hawawezi kuilaani Israel kwa vitendo vyao vya mauaji ya halaiki huko DARFUL
  Tanzania hatuwezi kuilaani Israel kwa vitendo vilivyofanywa huko ZANZIBAR.
  China nayo haiwezi kuilaani Israel kwa vitendo inavyovifanya kwa wananchi wake.
  Hamas nayo haina haki ya kuilaani Israel maana wao ndio wamekuwa waanzilishi wa vurugu,hivyo kusababisha kipigo kinachoendelea sasa hivi,wamekuwa wakirusha makombola nchini Israel kwa kipindi kirefu licha ya Israel kuwaonya mara kadhaa.
  Nchi nyingi zinalaani kutokana na UJUHA wetu maana wahenga walisema NYANI HAONI KUNDULE.
   
 3. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  Echolima kwa hiyo kuna double standard au ndo mambo ya sintofahamu?
   
 4. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Check your facts properly before posting. It seems that you have fallen victim to Israeli propaganda. It were the Israelis who broke the ceasefire by continuously killing Palestinians. Palestinians have been living under a harsh occupation for years, some have even claimed it is worse than what the South African apartheid was. The Palestinians have the right to liberate themselves.
   
 5. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kitia, bado swali langu alijapata jibu. Bado naona double standard hapa, mbona hatuandamani kulaani mauaji ya Wabantu wa Kongo na Sudan? au Janjaweed hawana tofauti na waisrael? au msiba wa waswahili hauna waliaji? au ndo mambo ya 'the animal farm' kwamba 'some animals are more equal than others!
   
Loading...