Kikwete, Mkapa na Mwinyi nani mfupi kati yao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete, Mkapa na Mwinyi nani mfupi kati yao?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jun 7, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Nawaombeni kunipasha kati ya hawa watatu nani ni mfupi zaidi ya wote? Kwani ufupi una maana nyingi na tafsiri mbalimbali.
   
 2. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo ni Mwinyi tu, hilo Afro linamfanya aonekane mrefu kuliko Mkapa kibandia, yeye ndiye mfupi, embu mpige para kimachomacho uone mwenyewe!
   
 3. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  What matters is not their heights, but CONTENT OF THEIR CHARACTER.
   
 4. Magu

  Magu Senior Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wote ni wafupi sana hakuna wa afadhari!!! Niliwahi simama jirani siku za nyuma na Mh. Mkapa, mwenyewe nijishitukia kuwa mzee atajiona vibaya mana nilikuwa naona yuko chini ya bega langu. Ikabidi nikae mbali ndo tuongee ili angalau tuonekane tuko sawa.
   
 5. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha!, ulifanya vema, ukiongea na mtu mfupi sana ni vizuri ukikaa mbali kidogo, ili asijisikie vibaya na kuona kama unavyomtazama utosini unamdharau!
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hujanisakikisha kwamba Mwinyi ni mfupi kuliko wote, ni kipimo gani ulichotumia Doreen22?
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Waweza kutufafanulia hico character ambazo zitatusaidia kumwona mfupi zaidi yao?
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  wa katikati ni mfupi kuliko wote
   
 9. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mie nimetumia kipimo cha macho, ningekuwa nao karibu ningewapima kabisa kwa futi kamba
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kuna vipimo vingi vya kuwapima kimo chao zaidi ya kutumia rula au futi.
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kichuguu na mlima Kilimanjaro? Nani wa kati?
   
 12. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Nasinzia mwenzenu nikiwaona hawawatu.
   
 13. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Mzee Mwinyi ndo mrefu kuliko wote hapo,wa katikati ndo mfupi zaidi.
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Umetumia ruler aina gani mwenzetu, ungetujuza vigezo hivyo tuweze kubaini ukweli wako.
   
 15. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kwa akili, Kikwete ni mbilikimo
   
 16. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkapa anaongoza kwa ufupi hadi anatisha
   
 17. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sure mkuu, thinking capacity ya huyu bwana ukilinganisha na hao wenzie inamfanya aonekane emoro
   
 18. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ikishajua mfupi zaidi halafu ndo inakuwaje mazee?
   
 19. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa kuangalia kimo hapa kwenye picha, nimeona
  Mzee Mwinyi ndie mfupi kuliko hawa wenzake,
  Mzee Mkapa ni mrefu zaidi ya Mzee Mwinyi, lakini ni mfupi kwa Mzee Kikwete
  Na Mzee Kikwete ni mrefu kwa kimo kuliko wenzake hapa
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nitafuata nyayo nami nirefuke
   
Loading...