Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,220
- 52
Akitaka akagombee urais Marekani,Zimbabwe,Sudan,au akawe rais wa Real Madrd.
Yes,Hasira zinaanza kulipuka taratibu.Watakiona cha mtemakuni,kama hataki aachie mamlaka!
Let him pay the price, kayataka mwenyewe anadhani watz bado wanataka mchezo, watu wamechoka na maisha magumu, kina lowassa wanagonganishana glass za nvinyo huku wakimbinya mapumb.... yake kwa furaha hali anaweza kuwakataza wasimbinye
WITO... jamani tunahitaji kujitolea hili kuinyang'anya tz toka kwa mafisadi.. wanasheria tunaomba mjitolee kuwasaidia watu hawa wanaoshikiliwa na vibaraka wao huko mbea