Kikwete: Lowassa ni msafi, alisingiziwa!

Wanasiasa watacheza Sana na akili za vijana wa kitanzania..

Makaburi yanavyoendelea kufukuliwa ndio vijana wataanza kuhoji nafikiri..
 
Nije nisikie fyoko fyoko kutoka kwa mwanaccm ooh sijui fisadi, mara sijui Chadema walimsafisha! Kumbe mwenye nchi wakati huo na baba yao ccm ukweli alikuwa anaujua!
 
Nije nisikie fyoko fyoko kutoka kwa mwanaccm ooh sijui fisadi, mara sijui Chadema walimsafisha! Kumbe mwenye nchi wakati huo na baba yao ccm ukweli alikuwa anaujua!
Mbowe angejua kuwa Msingi wa Chama ni Itikadi asingempokea Lowassa hata kama alikuwa anasingiziwa.
 
1470696740120.jpg
 
Back
Top Bottom