kikwete live saizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kikwete live saizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Dec 31, 2010.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kikwete kuhutubia live saiz mtege masikio kudaka point
   
 2. z

  zamlock JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mnasikia hiyo eti kikwete anasema tuwaepuki viongozi wa siasa wanaotaka kuwatumia wananchi kujinifaisha je haya yako sahii ndugu zangu huyu anayoyazunggumza huyu kwere
   
 3. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  mkwere hamna mpya, mfa maji huyo haishi kutapatapa.
   
 4. K

  Kiokote Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kikwete angalau anaweza kuacha kumbukumbu ya katiba mpya ambayo itakuwa ni 'remarkable' kwa miaka mingi ijayo....lakini.,kwa nini hii 'cabinet' yake inaonesha mgawanyiko na hakuna ile 'oneness' tuliyoitegemea kama timu iliyo chini kocha mmoja yani rais? Hii inanipa hofu...
   
Loading...