Kikwete kwenda Hija? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kwenda Hija?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sizinga, Nov 4, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  JK hembu tumia muda wako kidogo uende kukamilisha nguzo ya 5 ya uislam huko Makka/Madina. Sio kila uchao we kiguu na njia tu Ulaya hata unachokifanya kuhusu njii hii hakionekani, nenda kajisafishe huenda ikakusaidia sana kuliongoza taifa hili kwa kipindi kilichobakia.

  Ningependa kuona unakuwa mmoja wa mahujaji katika kipindi hiki, hasa ukiangalia tayari kuna matishio ya Al-shabab na misukosuko ya nchi za kiarabu, huenda kwa hija hii mambo mengi yakakaa sawa. Usisahau kuwaambia kwamba serikali yako haitambui mashoga pia.
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  aende akepewe na suti huko.
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Wewe unakujua vizuri Saudi Arabia? Hakuna maraha hata kidogo sasa Rais ataendaje huko?
   
 4. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna disco huko? kwanza kupata mademu issue kule sasa unashauri ushauri gani huo?
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Bora suti atavaa tutamwona, aweza apewe tende na halua , akagawa vipande vya ardhi vyenye madini, hakawii huyu bwana kurudia kosa
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Akienda harudi, JK ni mwizi, fisadi, dhulumati, ana chuki, ana visasi na anaweka sumu kwenye suti za wenzake.
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  hakuna mabembea kule, ni bora angesema aende LAMU au MOMBASA walau atakula ubwabwa, na maji ya madafu pia atakunywa.
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kulalamika kila siku kama vichaa jf.
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  ila nilichogundua mleta mada SIZINGA amemchoka JK hadi kumtakia kifo, loh!
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 9,875
  Likes Received: 3,298
  Trophy Points: 280
  Hebu wanazuoni tuelezeni sifa za mtu anayetakiwa kwenda hija kukamilisha nguzo hiyo muhimu ya dini yetu ya kiislmu asijeenda halafu yakamkuta mabaya
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  Na wewe utakuwa haumo?
   
 12. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hana sifa za kwenda hija
   
 13. Sele Mkonje

  Sele Mkonje Verified User

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 180
  sifa yake inatakiwa awe muislam na awe na uwezo wa kugharamia safari hiyo!! Hizo ndo sifa za m2 anaetaka kwenda hija!
   
 14. MANI

  MANI Platinum Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,234
  Likes Received: 1,547
  Trophy Points: 280
  Mkuu in maaana hatarudi?
   
 15. Sele Mkonje

  Sele Mkonje Verified User

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 180
  hehehe! Sifa zipi tena za ziada ambazo amekosa? Labda kama Jk ni "Mshirikina" hapo atakuwa hana sifa
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  mkuu sidhani kama atarudi, mashoga kule wanajificha sana wasifahamike, ukifahamika tu kuwa ushoga wanakumaliza.
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Sasa akienda huko si fitna zitaisha, manake atamrudia Allah wake
   
 18. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Mmh, hapa ngoja niandike hivi:

  "I'm responsible for what I say, I'm not responsible for what u understand"...hahaaaaa
   
 19. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Kumbe inabidi uwe na sifa kama za maombi ya kazi???sikujua hilo...lakini yeye si ndio mwenye maPHD mengi ya heshima hapa tanzania, au sifa zipi?
   
 20. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  JK ni muislamu na ndege anayo...hawezi panda QAtAR bussiness class mkabanane!! labda tuseme expirience ya hija ndo hana
   
Loading...