Kikwete kuzunguka dunia kujitambulisha kuwa kiongozi wa AU

..seems like ugomvi wa zamani unaendelezwa kwa sura mpya!

Tell me about it!

Watabadilisha sana majina, watatumia ID lukuki, watafanya kila wawezalo kuididimiza JF, but as long as niko hai na JF iko hewani basi hapa mafisadi hawakatizi...

tik tak tik tak tik ..............
 
Avenue,
acha papara njoo taratibu,Umekuja ukiwa kijani angalia usiwe nyota nyekundu,Furahia birthday CCM peke yako,Usipige mbiu katikati ya nyika,humo vimo viumbe vya aina mbalimbali,usije ukadhurika,calm down please."Better is a poor person who walks in his integrity than wealth who is crooked in speech and is a fool".
 
Si utoto tu bali ni umbeya usio mbele wala nyumba. Hii inaonyesha chuki binafsi waliyonayo wenzetu. Hivi Tanzania hatuoni ni neema kupata uongozi wa Afrika na UN kwa pamoja tunaanza kuwakejeli viongozi wetu. Sasa hao akina Chad, Kenya, Dafur, Somali wakimdharau tutasemaje?
Wacha utoto ndugu!! When are you finally gonna grow up?! Hebu tuambie lengo ya mada ya uchochezi na kejeli dhidi ya mheshimiwa rais kama hii? Unategemea ku-achieve kitu kama cha msingi with such far-fetched, speculative utumbo kama huu? You've gone way overboard ndugu! Heckling and demeaning the president in this uncouth fashion won't contribute to anything positive. Hii ni kubomoa na ku-demoralize na wala si kujenga.
 
..wana muda wa kumdharau? mi nadhani wamezama kwenye matatizo yao hadi vichwa vyao havitofautiani na vya vichaa. talking about kenya,that is!

Waambie ndugu yangu maana kuna watu wamesahau kuwa mtu mwenye akili timamu analisha watu wa nyumbani kwake kabla ya kulisha jirani zake!

Issue ya Chad imekuwepo na itakuwepo baada ya Kikwete, just wait tu ukisikia kuwa Tanzania kuna mafuta then uone kuna Chad ngapi zitatokea Tanzania! Hiyo Uranium kidogo tu iliyopo sasa hivi inawafanya wauza silaha wahamie East Afrika!
 
Hivi Tanzania hatuoni ni neema kupata uongozi wa Afrika na UN kwa pamoja

..ma mkwe,

..hebu nitoe gizani kidogo. hivi huwa kuna mafungu yanaambatana na kupata nafasi hizo ambazo waheshimiwa wamezipata?

..ingekuwa neema haswa kama tungepata suluhu ya matatizo yanayotusonga sasa hadi kutishia uwepo wa amani tanzania katika siku za usoni.

..si vitu vyote vya kusheherekea. hata wingi wa mvua si neema kwa mkulima!
 
Tell me about it!

Watabadilisha sana majina, watatumia ID lukuki, watafanya kila wawezalo kuididimiza JF, but as long as niko hai na JF iko hewani basi hapa mafisadi hawakatizi...

tik tak tik tak tik ..............

Ewe Primadonna wa bodi hii! What a pathetically silly and vulgar female you must be! Umefanya kujiunga kwa hiari na kuchangia mawazo huru kwenye hii bodi kuwa ULAJI! Nobody cares kama JF ni bodi ya buzi lako, kaka yako au babako. Nachojua ni kwamba ushindwapo hoja au kupingwa unaishia ktoa vitisho vya kufungiwa wachangiaji.

By the way, hadi hivi sasa sijaona mahali umejibu hoja yangu kuhusu lengo la kuanzisha hii mada. Au labda ilkuwa ni kutafuta sifa na "thanks" zaidi kutoka kwa Wapambe wako waliozagaa humu ndani?
 
Heeeeeee ndugu Mavuzi mbona unaingia kasi baba hapa kijijini? umeshawaona viongozi wa mtaa na wazee wa mji kusudi wakupe nasaha za humu jamvini? Tafadhali..jitahidi kuwaona... Wakueleze kwamba hapa jamvini hazidumu fikra za mwenyekiti wala katibu!!! Fikra zinazodumu ni za yeyote yule mwenye mapenzi na nchi yetu....

Sina la zaidi ila hili jamvi linaitwa JAMBO FORUM WHERE WE DARE TALK OPENLY! Tunamkoma Nyani mchana kweupeeeeee! Kwa hiyo mkuu hiyo issue ya President, na wengineo ni huko huko..hii ni dunia huru! I dare say YOU ARE WELCOME TO THE JAMBO FORUM WORLD.

Kwa mara nyingine tena nakusihi punguza kasi ndugu....Humu kijijini hatujuani na usishangae hata mkuu wa kaya yupo hapa anakusoma vizuri tuu...
 
Back
Top Bottom