Kikwete kuzidisha ukaribu na Magufuli

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Siku zinavyozidi kwenda ndipo raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Bw. Kikwete anazidisha ukaribu na mgombea wa CCM-Magufuli, alipo Magufuli na JK yupo.

KWANINI?

i. Vigogo wengi ndani ya chama wamemzilia kwakuwa yeye ndiye aliyekuja na hayo majina mfukoni mwake, hivyo wamemuachia mzigo wake na wameapa kumpigia kura mzee mwenye mvi nyingi sana. Hivyo JK ni lazima awe karibu nae kwakuwa yeye ndiye alimwambia aende akachukue fomu kimya kimya.

ii. Tetesi ni kuwa kampeni ya ''Magufuli toroka uje'' sio mzaha, watu walikuwa wapo serious kweli kumshawishi Magufuli atoroke CCM kuhamia UKAWA na awaache CCM wakiwa wapweke. Kwahiyo JK anajitahidi kuwa karibu na Magufuli asije akashawishiwa akatoroka kweli.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
Last edited by a moderator:
Kufuli ukiliona lipo juu ujue limepandishwa na kupachikwa,kazi yake ni Ukibaraka tu!!!
 
Back
Top Bottom