Kikwete kuwa mwenyeji wa makongamano, semina na mikutano ya kimataifa siyo suluhisho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kuwa mwenyeji wa makongamano, semina na mikutano ya kimataifa siyo suluhisho!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Dumelambegu, May 24, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naona mkuu sasa anataka Tanzania iingie kwenye kitabu cha kumbukumbu kwa kuwa kinara wa kuandaa mikutano, semina, warsha na makongamano ya kimataifa. Nasikia kuna kongamano jingine tena linaandaliwa. Hivi kuna impact yoyote ya maana tuliyopata tangu tuanze kuandaa ule ambao bahati mbaya hata jina sikumbuki (sijui unaitwa Sulvane) uliofanyika Arusha?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  si wanamjua ni mpiga porojo nkubwa ndo maana wanamtumia vilivyo
   
Loading...