Sio suala la kupata ajira nzuri au kuwa tajiri!Elimu haipo ku kufanya uwe Tajiri ama upate ajira nzuri tu,
Anaweza akachonga milango ndio, ila akachonga milango mizuri ambayo mwanzo haikuepo,
Elimu huondoa ujinga na kukupa maarifa mapya, huondoa wasiwasi usio na maana na kukupa maisha yenye Amani,
Sasa hivi TANZANIA imebadilika, sio kama zamani!Si mmesikia wale jamaa wanaosinziaga kule mjengoni wanadai nyongeza ya mpunga?
Hiyo vision hawana na usimamizi wa Elimu upo Tamisemi
Halafu kitu kingine ambacho huwa hakizungumziwi sana, ni kuwa - WALIMU wa shule za msingi na sekondari wanafahamu kila kitu kinachofanyika pale NECTA na TAMISEMI.Elimu haipo ku kufanya uwe Tajiri ama upate ajira nzuri tu,
Anaweza akachonga milango ndio, ila akachonga milango mizuri ambayo mwanzo haikuepo,
Elimu huondoa ujinga na kukupa maarifa mapya, huondoa wasiwasi usio na maana na kukupa maisha yenye Amani,
Hiyo ndio SIASA inayofanywa na SERIKALI inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM.
Hivi ukiulizwa ni mwanafunzi gani aliyeongoza kidato cha nne, mwaka 2007? Unaweza kutuwekea orodha?Elimu haipo ku kufanya uwe Tajiri ama upate ajira nzuri tu,
Anaweza akachonga milango ndio, ila akachonga milango mizuri ambayo mwanzo haikuepo,
Elimu huondoa ujinga na kukupa maarifa mapya, huondoa wasiwasi usio na maana na kukupa maisha yenye Amani,
Yaani huyu JK huwa namuona yajielewi uswahili tu usiokuwa na maana. Huyu ndiye Rais pekee ambaye alikuwa na wakati mzuri sana wa kufanya vitu vizuri badala yake ujinga kila kona ndo uliofanyika.This is pumbav! Akili inayokuja baada ya kutoka madarakani ni pumbav kabisa! Kikwete angewezaje kuanzisha ufundishaji wa mtandao wakati pesa yote ilikuwa inaibiwa on his watch? Mradi pekee mkubwa ulikuwa ni Mloganzila kwa miaka 10 ya utawala, averaging a total budget of over TZS 170 trilioni in 10 years. Nchi ambayo watu walikuwa wanabeba pesa za escrow yeye anasema siyo za umma, ni za watu binfasi. Hopeless!
Shame upon his shameless face.
Asante 🙏🏼Yaani huyu JK huwa namuona yajielewi uswahili tu usiokuwa na maana. Huyu ndiye Rais pekee ambaye alikuwa na wakati mzuri sana wa kufanya vitu vizuri badala yake ujinga kila kona ndo uliofanyika.
Ulishawahi kufanya kazi NECTA au unaongea tu ndugu?. NECTA ni chombo nyeti na mahsusi sana tofauti na unavyokidhania.Sio suala la kupata ajira nzuri au kuwa tajiri!
Suala ni UDANGANYIFU unaoendelea kufanyika pale NECTA!
Udanganyifu inakufanya kuwa DUNI KITAALUMA, na sio suala la kubeza!
UDANGANYIFU ni REPRESSION AND FALSIFICATION OF PUPILS AND STUDENTS ACADEMIC RESULTS kwa lugha ya kiingereza.
Na makosa ya UDANGANYIFU yanafanana kabisa na makosa ya PLAGIARISM.
Mtu anayefanya PLAGIARISM huwa anapewa SIFURI [ 0 ] kwenye kazi yake ya kitaaluma.
Kwahiyo unategemea nini kwa mtu anayedanganya matokeo kwenye vyeti vyake vya kuhitimu?
Matokeo yake ni KUTOAJIRIWA kabisa!
Ndio maana hawa wanafunzi wamepotea, yaani wanajishughulisha na shughuli nje ya TAALUMA zao walizosomea.
Nenda huko Kenya ndugu ukapate elimu bora.
Hivi kuna shule maalumu za CHADEMA?My take.
Hii elimu yetu ya kuwafanya chadema washangilie kila baya linaloipata nchi yetu ikiwemo kukamatwa ndege, miradi kukwama , tutashitakiwa MIGA etc bora ifutwe kabisa tuanzishe elimu mpya itakayowafanya chadema wajitambue.
Wewe ni walewale watoa siri nyeti za serikali. Unapewa kazi na serikali ukishashiba unaanza kubwabwaja kuwa walimu wanafanya hiki na kile. Kwa taarifa yako, wewe ni mwalimu kwa uandishi wako. Nakushari uende Uingereza au Kenya kutimiza matamanio yako.
Ulishawahi kufanya kazi NECTA au unaongea tu ndugu?. NECTA ni chombo nyeti na mahsusi sana tofauti n
Wewe ni walewale watoa siri nyeti za serikali. Unapewa kazi na serikali ukishashiba unaanza kubwabwaja kuwa walimu wanafanya hiki na kile. Kwa taarifa yako, wewe ni mwalimu kwa uandishi wako. Nakushari uende Uingereza au Kenya kutimiza matamanio yako.
a una
Mimi sijawahi kufanya kazi NECTA | Home! Lakini mimi ni mhandisi ambaye vyeti vyangu vyote vya shule ya msingi na sekondari vimesailiwa na NECTA | Home.Ulishawahi kufanya kazi NECTA au unaongea tu ndugu?.
Ndio! Hakuna anayekataa kuwa NECTA | Home ni chombo nyeti lakini hapa tunajadili madhaifu yanayojitokeza kwenye uwasilishaji wa matokeo ya wanafunzi pamoja na taarifa za awali za wanafunzi husika.NECTA ni chombo nyeti na mahsusi sana tofauti na unavyokidhania.
Waacheni CHADEMA wapumzike, maana wao wana SIASA zao ambazo ndio wanaamini watachukua nchi!Hivi kuna shule maalumu za CHADEMA?
Hamna kitu kama hicho, kukata risiti kwa mtandao na vingine ulivyotaja ni elimu ya siku moja kwa mtu, bado nasisitiza, kazi zitakuwepo na zitafanywa na sisi regardless ya elimu, kwani hata huko ulaya bado kuna kazi zinafanywa na binadamu, sio zote hufanywa na roboti, kwanza Afrika kuna cheap labour, mfano viwandani.Hujamuelewa mzee
Mzee anamaanisha ukuaji wa Elimu yetu Ni lazima uendane na ukuaji wa Teknolojia. Hivyo vyote vinategemea bajeti imara.
Kama kasi ya ukuaji wa elimu yetu iko nyuma Sana dhidi ya kasi ya ukuaji wa teknolojia Basi wahitimu wa wa kiafrika watapokonywa ajira zao.
Itakapofikia hatua watu walioendelea kutengeneza maroboti madereva, Tiketi kukatwa kwa kadi, huduma kwa wateja Ni roboti, na kila kitu. Sisi Waafrika tutakuwa watazamaji na wahitimu watashindwa kuajirika maana Teknolojia imewatupa mkono kwa sababu hatutaweza kuendesha roboti Wala kuzitengeneza.
Kuna SIRI gani hapo NECTA | Home?Wewe ni walewale watoa siri nyeti za serikali.
Kila mtu anao uhuru wa kujieleza! Kwahiyo, sio vyema kumpangia mtu cha kuandika wala kujadili kwa sababu JamiiForums ni jukwaa huru na kuna sheria zake.Unapewa kazi na serikali ukishashiba unaanza kubwabwaja kuwa walimu wanafanya hiki na kile.
Sio vyema kueleza kazi ya mtu hadharani bila ya idhini yake.Kwa taarifa yako, wewe ni mwalimu kwa uandishi wako.
Mbona unapaniki? Hasira zinatoka wapi? Ukweli lazima usemwe.Nakushari uende Uingereza au Kenya kutimiza matamanio yako.