Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni

Status
Not open for further replies.
Hao wanaoitwa wasomi na Tanzania Daima walitaka raisi amteue nani badala ya Zhakia? Maana uteuzi unaendana na kumwamini huyo unayemteua na ikumbukwe Zhakia alikuwe kwenye "Fundraising Team" kwa ajili ya kampeni za Mh. JK

Uwezo ndungu....nasisitiza ni UWEZO wa mtu na sio kuaminiana hii ni public position sio personal
 
Sio wasomi tu hata sisi wananchi wa kawaida tunapinga uteuzi huo japo ndio hivyo tena katiba inamruhusu
 
Hiyo ni zawadi kwa "mama mkwe" anasubiria msahau aanze tena "kugawa shukrani kwa washikaji" ngoja uone.
 
mama mkwe?au ni nini

Ni ukosefu wa JK yeye mwenyewe kuwa makini sasa ametuhakikishia kuwa na Lowassa nae anarudishwa pia maana Meghji ana Tuhuma za magogo na sakata la EPA BOT sasa sielewi anaposema serikali makini ni ipi unapo taka kuwa safi inabidi ujisafishe kwanza ili nao wananchi wakuelewe kila utamkalo.

Sasa utamkalo lapishana na utekelezaji wako sasa hapo si unawapa wananchi wasiwasi wa kuhoji Baraza la Mawaziri wako pia na hilo neno la kutaka serikali iliyo makini. Does JK know the word SERIKALI MAKINI means?? au ndio zile zake za kusema wajua bwana siasa ni mchezo mchafu ni kuzungusha zungusha mambo tuu!!!!!

mtoto wa Zakia na Kikwete hizi sio kweli ni maneno ya mtaani tu haya...
Kumbukeni Meghji ni ukoo wa mume wa Zakia...
Means Kama kikwete kaoa kwa kina Meghji si lazima awe mtoto wa Zakia na kama kaoa kwa upande wa kina Zakia sio lazima awe mtoto wa Zakia....
kwa ufahamu nilio nao na nikiwa na akili timamu nakataa Kikwete sio Mkwe wa Zakia Meghji...

Lingine la ufanisi..... Sijui

weka proof,otherwise huo ni umbea
 
Kwa mtaji huu inaonekana EPA No.2 inaandaliwa. Usishangae akarudishwa wizara nyeti kabisa ili mapesa yaanze kuandaliwa kwenye malori kwa ajili ya uchanguzi 2015. Chunga sana!
Exactly...ila mwisho wao ni 2015 tutawasweka ndani woooooote hadi huyo mbuzi fake wa kafara
 
weka proof,otherwise huo ni umbea
Kuna position nyingine, Rais anamchagua mtu kwa sababu zake binafsI. Nadhani Zakia hajateuliwa kwa kuwa ana uwezo wa kumsaidia kutawala JK(maana ashashindwa tangu mwanzo!). Jakaya ndiye pekee ajuaye kilichomsukuma kuchagu incompetent person kuingia bungeni!
 
Wacha awajaze tu katika baraza lake la mawaziri; ndiyo mchezo na CDM utanoga!!!!!!!!!!!!!!!! Hivi si mnamjua Tundu Lisu lakin?????????ambaye JK alisema heri Slaa kuwa rais kuliko TL kuwa mbunge???????????!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa ni mbunge!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hapa itakuwa safi zitakapofumu hoja za Richmond, EPA, Kagoda, nk; maana haya ndiyo nyama za vijana wa CDM kujipima misuli na yule spika na naibu wake!!!!!!!!!!!!!!!!!Kindumbwendumbwe kitakuwa pale ambapo spika na naibu wake na kambi ya sisiem watakapoleta hoja hizi kwa lengo la kumsafisha EL na AC kwa 2015; CDM watataka kujua hatua gani serikali ya sisiem imechukua kufuatia agizo la bunge la 9 kwa ripoti ya kamati ya Dr HM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama ngumi staili ya NRB hazijatua mjengoni safari hiii, yetu macho na ushabiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kuna watu wanasema kuwa amepata nafasi hiyo kwa kuwa ni mzanzibar (ila ameolewa uchagani/arusha) ili kupata ratio nzuri katika uwakilishi.
sina hakika kama Zakia meghji ni mzanzibar.
 
Kuna position nyingine, Rais anamchagua mtu kwa sababu zake binafsI. Nadhani Zakia hajateuliwa kwa kuwa ana uwezo wa kumsaidia kutawala JK(maana ashashindwa tangu mwanzo!). Jakaya ndiye pekee ajuaye kilichomsukuma kuchagu incompetent person kuingia bungeni!

labda pia kwa kuwa yupo kamati kuu ya CCM, nafikiri kuna malengo fulani ya kuwa na watu hawa bungeni. ikiwa ni pamoja na kumtetea/kumpigia ndogondogo JK mjengoni
 
Uyo dogo ni mtoto wa Meghji wa kumzaa kitambo walikuwa wanakaa maeneo fulani kule upanga ukiwa unapandisha na ile barabara inayoacha parokia ya upanga upande wa kuliaaaaaaaaaa.
Hola laaaaaaaaaaaaaaaaaa enzi izo alikuwa analipa sana kama malaikaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni vema kikwete akaangalia uteuzi wake wa Zakia na hata Nahodha. kwanini sheni hakumchagua huko zanzibar? Kwahiyo yeye hajaona watu wengine hapa Bara mpaka aka enda kuchukua Reject? Aacha uswaiba kwenye mambo ya maslahi ya Taifa. Hakuwa na sababu ya kuwachagua hao watu, kuna vijana wengi tu angewapa nafasi hiyo.
Au ndiyo anataka kuimaliza Tanzania kwakuwa ni mwaka wake wa mwisho? Watanzania wenzangu tulione hilo, WAKATI WA <CHUKUA CHAKO MAPEMA> ndiyo huu, tumeliwa.
 
mmesahau Zakhia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na ndie alimbeba Kikwete, kipindi kile Salim Hamed Salim angeweza shinda
 
Wandugu,

Nilikuwa najiuliza je JK alikuwa na mantiki gani kuwateua akina Z. Meghji, Prof. Mbarawa, na S. Naodha kuwa wabunge wateule kwenye zile nafasi zake 10 alizopewa kikatiba?

Kwa matazamo wangu, badala ya kuwateua washikaji zake, ilikuwa ni afadhali angewateuwa watu kutoka makundi maalum vya wenye ulemavu kama vile wasioona, wasiosikia, walemavu wa viungo, maalbino, na kadhalika ili kila kundi liwe na mwakilishi wake mjengoni. Pamoja na kuwa sote tunajua wanao wawakilishi wa jumla kupitia majimboni, hii haiwezi kuwa na maana kwamba wawakilishi wao kupitia majimboni wanayafahamu mahitaji yao ya msingi. Mtu hauwezi kuzisemea feelings za albino kama wewe siyo Albino. aidha, hakuna hawezaye kuelezea madhira ayapatayo mlemavu asiyesikia pindi awapo shuleni ambapo hakuna huduma za wakalimani wa lugha ya ishara wala walimu wajuao lugha yao kama yeye siyo mlemavu wa masikio.

Nimekuja na swali hili kwani sote tumemsikia JK anahubiri kufunika makovu yatokanayo na uchaguzi wakati walemavu wenzetu wana makovu ya kutotimiziwa mahitaji yao tangu tumuondoe mkoloni. Japokuwa enzi za Mwalimu kuna baadhi ya shule na vyuo vya wenye vilianzishwa kama vile chuo cha walemavu Yombo. Tangia hapo hakuna chuo wala shule maaluma zilizoanzishwa serikali ukiondoa zile zilizoanzishwa na mashirika ya dini kama vile Rev. Sebastian Kulowa cha Lushoto, Tanga.

Huwezi kusema nchi ina amani wakati kuna baadhi ya makundi fulani ndani ya jamii yanaumia.

Nawakilisha.
 
Ateue walemavu amwache Mamkwe we vipi! Halafu ni yeye anaongoza kwa kuongea pumba za undugu! Anatia Kinyaa huyu!
 
ateue walemavu amwache mamkwe we vipi! Halafu ni yeye anaongoza kwa kuongea pumba za undugu! Anatia kinyaa huyu!

hivu huu umamamkwe unakuja vipi? Mana huyu mama historia yake tokea nipo shule yeye ni viti maalum tu, je sikuna hatari watu wakawa wamekula kuku na kifaranga chake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom