Amakweli unachekesha yaani mtu makini kama jk apewe ushauri na slaa mwenye siasa za chuki na zilizojaa uhasama! Slaa ndio anastahili kupewa ushauri zaidi maana chama chake kinazidi kuangamia. Jk hawezi pokea ushauri kwake kwanza hana jipya na kwanza aliisha mdharau siku nyingi kwa kitendo chake cha kutomkubali kama raisi wa nchi.