Kikwete kulalamika majukwaani

Nasubiri siku jk atakapo mwaga ukweli wote wa escrow na hivyo kumfanya lowassa kuanguka kwa aibu ktk sanduku la kura.

Escrow!!!Du hata mimi naisubiri kwa hamu hiyo siku! Lakini sidhani kama JK anaweza kuwa mwerevu kumwaga huo ukweli. Pindipo akiweza basi hata wewe siku hiyo utarudisha kadi na utabadilika tu! #Njoo kwenye mabadiliko
 
Unapokuwa na Rais ambaye hatambui kama ni Rais. Huyu ilibidi tumshtaki kwa kutotii katiba aliyoapa kuilinda.
 
Unapokuwa na Rais ambaye hatambui kama ni Rais. Huyu ilibidi tumshtaki kwa kutotii katiba aliyoapa kuilinda.

Wala usipate taabu ya kumshataki. Kama rais anapokuwa hana utii kwa Mungu unadhani jee anaweza kutii Katiba ya nchi? Jee unadhani anaweza kuwajali hata wananchi wake kweli?
 
Jamani kumbe rais wetu anajua hawa watu naomba orodhesheni kashifa zote kabla hajatoka ofisini atwambie kila kashifa ni ya nani na kama kiongozi kwanini hakuchukua hatua. Vinginevyo watoto wa mjini watasema wapiga dili wanajuana.
 
Kwa nini kashindwa hata kumtaja jina Lowasa kama mmliki wa richmond , kwa nini hakusema live "richmond ni ya Lowasa" kama alivyosema Tundu Lisu kwamba richmond ni ya Kikwete?
Kama richmond ni ya Lowasa Dowans na symbion ni za nani?
Kama Lowasa ni mmiliki wa richmond kwa nini JK aliruhusu apewe mafao ya uwaziri mkuu mstaafu kwa miaka 8 na kwa nini baada ya kujiuzulu uwaziri mkuu JK alimpa usimamizi wa kazi za serikali kama ujenzi wa shule za kata, na kwa nini JK aliruhusu lowassa ashike uenyekiti wa kamati ya usalama wa bunge?
Kama richmond ni ya Lowasa na JK anafahamu kama anavyodai, kwa nini mpaka sasa hivi Lowasa anakatiza mikoani kuomba kura za uraisi badala ya kuwa jela?
 
Bwa'mdogo...mbona hujiulizi maswali ya msingi baada ya kupata hizo taarifa?
Kwanini Lowassa hajakanusha?
Kwanini kazi ya kujibu wamempa mropokaji Lissu?
Kwanini Lowassa hajakubali mdahalo kati yake na Sitta, Mwakyembe? Funguka akili wewe mmekumbatia fisadi...wake up

Mnapenda sana kufunika halafu kila wakati kufunua kidogo, kuchungulia na kufunika tena.
 
Rais hatakiwi ataje bali aamulishe. Anatuambia sisi tufanye nini na ndiye tumemkabidhi vyombo vyote vya dora?! Kauli ya rais huwa ni amri, hatakiwi kudhani au kupayuka. Aliwahi sema anawajua wauza madawa ya kulevya na hakuchukua hatua hadi leo. Siku si nyingi, kijana wake akahusishwa ha tuhuma hiyo. Leo rais mzima, tena publicly, anatuambia watanzania mwenye Richmond Lisu ndio anatembea naye. Kwa maana fupi anamjua na hachukui hatua! Anafanya u rais ni kijeba, kwa kujibizana kama kwenye kanga za akina mama! Na si watanzania tupo kimya tu! Kweli sasa sishangai Maisa yetu yalivyo.

Mwana falsafa mmoja aliwahi sema "you are who you are...." Maana ya kuwa ulivyo/tulivyo in reflection ya uhalisia wake/wenu. Hii in sahihi. Tupo tulivyo kwa mizaha yetu. In mzaha wetanzania, ulio MOA Kikwete urais, in mzaha wetu tuna hali duni za maisha huku tukiwa na utajili mwingi lakini hayuishi kulalama. Lakini kwangu mimi suala si raisi Kikwete tu, bali sisi watanzania wote kwa ujumla wetu maana ndio tulimuweka madarakani.

Amen
 
Rais hatakiwi ataje bali aamulishe. Anatuambia sisi tufanye nini na ndiye tumemkabidhi vyombo vyote vya dora?! Kauai ya rais huwa ni amri, hatakiwi kudhani au kupayuka. Aliwahi sema anawajua wauza madawa ya kulevya na hakuchukua hatua hadi leo. Siku si nyingi, kijana wake akahusishwa ha tuhuma hiyo. Leo rais mzima, tena publicly, anatuambia watanzania mwenye Richmond Lisu ndio anatembea naye. Kwa maana fupi anamjua na hachukui hatua! Anafanya u rais ni kijeba, kwa kujibizana kama kwenye kanga za akina mama! Na si watanzania tupo kimya tu! Kweli sasa sishangai Maisa yetu yalivyo.

Mwana falsafa mmoja aliwahi sema "you are who you are...." Maana ya kuwa ulivyo/tulivyo in reflection ya uhalisia wake/wenu. Hii in sahihi. Tupo tulivyo kwa mizaha yetu. In mzaha wetanzania, ulio MOA Kikwete urais, in mzaha wetu tuna hali duni za maisha huku tukiwa na utajili mwingi lakini hayuishi kulalama. Lakini kwangu mimi suala si raisi Kikwete tu, bali sisi watanzania wote kwa ujumla wetu maana ndio tulimuweka madarakani.

Amen
 
Sasa raisi anatuambia wananchi sijui tufanyeje,?kumbe siku zote anamjua mmiriki wa richmond afu hamfanyi kitu?
 
Bwa'mdogo...mbona hujiulizi maswali ya msingi baada ya kupata hizo taarifa?
Kwanini Lowassa hajakanusha?
Kwanini kazi ya kujibu wamempa mropokaji Lissu?
Kwanini Lowassa hajakubali mdahalo kati yake na Sitta, Mwakyembe? Funguka akili wewe mmekumbatia fisadi...wake up

Hayo maswali uliyouliza majibu yake Ndiyo suluhisho la ufisadi?

Nchi Rais analialia, Mwananchi wa kawaida analialia!
Sasa JK alitaka Wananchi ndiyo wakamkamate muhusika wa Richmond?
 
Swala sio kumgusa Magufuli.

Swala ni: Rais ANAJIDHALILISHA. Analumbanaje na wanasiasa majukwaani badala ya kuchukua hatua stahiki?!

Rais ameshikilia dola, ana haja gani ya kulumbana?! Achukue hatua.

Anachukuwa hatua zakuwapa ulaji washikji kwenye kurugenzi, mikoa na hata wilaya hata kama kwa wiki moja tu wamalizie ghorofa zao, kisha wamtunzie siri na kumlida baada ya 25 October
 
Sasa raisi anatuambia wananchi sijui tufanyeje,?kumbe siku zote anamjua mmiriki wa richmond afu hamfanyi kitu?
Anaogopa kumwagiwa mboga zake. EDO anazo siri nyingi za JK hataki kuzisema ila wanamlazimisha aropoke. Siku akipandisha mori za kimasai sijui mkwere atauficha wapi uso wake. Kuna raha zake kumchokoza chura kwa kumwingiza kidole mdomoni kwa kuwa unaamini hang'ati ati huyaoni meno
 
Sorry, I mean Richmond kwani ndicho alichokigusia kigoma. Very sorry ndg zamoyoni

Naona akili zako umezikalia hivi kwa sasa utaongea nn tukusikie kuhusu OUR SWEETHEART EDDO na tukuelewe too late...yaan elewa tumekuwa crazy kwa EDWARD LOWASSA...
 
Hayo maswali uliyouliza majibu yake Ndiyo suluhisho la ufisadi?

Nchi Rais analialia, Mwananchi wa kawaida analialia!
Sasa JK alitaka Wananchi ndiyo wakamkamate muhusika wa Richmond?

Asante baba kwa kumjibu huyo punguani Wa akili nmegundua vijana Wa CCM wanakurupuka halafu tunawatoa knockout
 
Kikwete angekuwa na akili kweli angewashauri watu tukomae tu lakini kila siku kulalamika utasikia hoo hoo ukawa moto wa mabua mara tundu lisu anatembea na muharifu haya yote yanini atulie tu na awe anajifunza kwenye nchi za wenzake wanavyo heshimu demokrasia kila siku anashinda ulaya lakini hamna kitu alicho jifunza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom