Elections 2010 Kikwete kukutana na wanahabari

Amekuwa akihubiri umwagaji damu, jee green guard ni jeshi la aina gani, chini ya kifungu kipi cha cheria?
 
Deni la mtanzania linazidi kupanda kila kila siku, alipoingia madarakani ilikuwa sh. 190,000 na sasa ni zaidi ya 400,000, what's wrong?
 
Mbona kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania haitumiki tena, jee maisha ya mtanzania ni BORA sasa, au haiwezekani kwa maisha ya mtanzania kuwa bora chini ya serikali yake?.
 
Kauli mbiu ya Ari Zaidi, Kasi Zaidi na Nguvu Zaidi, inamaanisha nini?

Ari Mpya, Nguvu mpya, na kasi mpya amegundua ubovu gani?.
 
Safari hii simu hazitaki? Mbona alivyohojiwa na Tido live waliruhusu simu kutoka kwa wananchi? JK anataka tuamini mdahalo ule alioufanya ulikuwa ni usanii tu? Hakuogopa maswali akiwa rais, iweje leo ayaogope akiwa mgombea experienced?
 
Huyu atapewe tu maswali na majibu yake kabla tena kwa order maalumu. Lakini lazima tu achachemsha katika kujibu kwani hana confidence ya kutosha kwa sasa.

Atakuwa na makaratasi kibao kwenye meza yake. Kampeni zake zote amekuwa anatumia sana usomaji wa reports
 
CHACHA M JACKSON WA TARIME.

NAMSHAULI ASIONGEE KABISA MAKE ANAITIA AIBU CCM NA KUICHAFUA TUU. ALIYO FANYA YANATOSHA
NA TUME VUMILIA KIASI CHA KUTOSHA.:israel:
 
Mie bado nacheka na facebook ya kikwete ambayo ERNESTO SHEKA na wenzake wanaimonita. hebu cheki hapa


Msanii thanx. Kusema kweli watu wamechoka kupita kiasi, hata mimi pia. Sasa kilichobaki ni CCM kutawala kwa kutumia nguvu .. na uamuzi huo unaweza kusababisha recoil kubwa, effectz za recoil hiyo zinahitaji mtu mwenye charismata aina ya Nyerere kuthibiti matokeo yake.
Ladies and gentlemen, we are at the crossroads and we can keep our fingers closed as after 31 Oct and hope it will be calm and peace.
Sincerely speaking, Kikwete knows Dr Slaa is intelligent, competitive and popular than, but to consent defeat is another thing and may prove to be difficult where wisdom lacks and power hunger rules instead.
So what shall we do? All people should pray and ask for Divine intervention. The Almighty God is able and can rescue us. Let’s all claim for our promises from Him, for He is sincere and faithful.
 
Back
Top Bottom