Kikwete kukutana na machinga badala ya kuboresha uchumi na uwekezaji ni jibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kukutana na machinga badala ya kuboresha uchumi na uwekezaji ni jibu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Feb 7, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Rais Jakaya Kikwete angepaswa kujua kuwa kukutana na wamachinga si kuwatatulia matatizo yao. Mie naona ingekuwa jambo la maana kuacha kugawa madini yetu kwa washikaji zake wawekezaji jambo ambalo linaongeza umaskini.Hili ni bora kuliko mikutano hii na wamachinga au kuhudhuria mazishi kutafuta umaarufu. Vijana hawahitaji kukutana na rais bali kutengenezewa ajira na kufufua uchumi. Huwezi ukakumbatia mafisadi kama akina Lowassa, Rostam na Chenge halafu ukawapenda wamachinga ambao ni matokeo ya dili za mafisadi hao.
   
Loading...