Kikwete Kufungua sherehe za miaka 50yrs ya UHURU leo

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Wakazi wote wa dar es salaam
na vitongoji vyake mnakalibishwa
kwenye uzinduzi wa miaka 50 ya uhuru mnazi mmoja Leo

Tumejaribu, tumeweza tunagonga

Mungu Ibariki TAnzania

Mungu mbaliki Rais wetu Jakaya

Source:clouds fm
 
Tunashukuru mkuu kwa taarifa. Je tunaruhusiwa kuja na sare za chama au nguo za kawaida tu.
 
rais wetu,mpendwa,mfalme,anaejua kuwajibika kwa watu wake,ambaye hajauza nchi waliouza ni walioko chioniyake yeye hana hatia.
mtetezi wa wanyonge.

Aliyesimamia viwanja vya burka kugawiwa masikini, asiyechezea rasilimali za masikini kwenda kubembea, aliyekamata wahujumu uchumi, rada, ndege ya rais, meremeta, epa, anaekula futari na yatima, familia yake haijitajirishi kwa cheo chake, ambaye hajaruhusu reli ife ili malori ya .....yabebe mafuta, ambaye angekuwa na uwezo wa kusababisha mvua inyeshe mtera angefanya hivyo.

Ambaye serikali yake imewagawia wananchi wa wami dakawa ardhi ya kilimo mkapa, sumaye,mwinyi,ngwilizi,mangula nk.
kwa sifa hizo hapo juu mimi tayari nimeshaingia uwanjani nitakesha hapa mpaka siku hiyo ili niungane na wewe na watu wenye akili kama zetu.
mungu ibariki tanganyika.
 
Sisi wenye magamba tumejaribu; tumeweza; kuwatumikia majuha wa Bongolala kwa maslahi yetu binafsi, si unaona mwenyewe haina haja kusema sana.
 
Vipi ****** amepunguza safari nini? au hajapata mwaliko? Anafungua sherehe za miaka 50 ya uhuru kwa lipi alilotufanyia, angejaribu kurekebisha mapungufu yaliyoko ndio azindue hizo sherehe. Washeherekee na magamba wenzake maana ndio hawana la kufanya hata kutatua kero za wananchi kunawashinda wanakimbilia sherehe.Huku hakuna umeme na mpaka dakika hii haujawaka. Kikwete na Ngeleja ( All magambas ) tumewachoka hatutaki hata kuwasikia.
 
tumejaribu, tumeweza tunagonga safi sana mkulu
Wakazi wote wa dar es salaam
na vitongoji vyake mnakalibishwa
kwenye uzinduzi wa miaka 50 ya uhuru mnazi mmoja Leo

Tumejaribu, tumeweza tunagonga

Mungu Ibariki TAnzania

Mungu mbaliki Rais wetu Jakaya

Source:clouds fm
 
3.jpg

4.jpg
 
Back
Top Bottom