Kikwete: Kuepusha mauaji ya wakulima na wafugaji

MLO

Senior Member
Apr 2, 2012
173
225
Naamini watanzania tunaouwezo wa kutatua matatizo ya wakulima na wafugaji.
Kama mfugaji mmoja anapigwa faini ya shirini milion 10 na analipa,kama lowasa anachangisha milion 600 kwa siku,kama tulimchangia rafiki yangu milion 21 ili aoe na harambe nyingi uzijuavyo wewe msomaji.

Inashindikanaje serikali kukaa na wafugaji,wadau nchi nzima kuhakikisha kunakuwa na ummoja wa wafugaji ambao utakuwa na excavator kwa ajili kuchimba mawawa na kuwatengea maeneo ya kudumu

hebu tuache uvivu wa kufikiria watu wamechoka na migogoro tuamue sasa kusaidia wanaweza kutoa,tuweza kuwasaidia na tukahitimisha tatizo hilo tuna watalamu wa mifugo
watuambie ngombe anakunywa lita ngapi ilitujue mabwawa kutokana na takwimu za serikali za mifugo.
 

Attachments

  • EXCAVETOR.PNG
    File size
    146 KB
    Views
    81

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,728
2,000
Badilisha hiyo heading kwanza ndio tuweze kuchangia kwani ni tofauti na ulichokipost
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom