Kikwete kosa kubwa ni kumpa Magufuli chama, utanikumbuka

Kwani Kikwete,Mwinyi na Mkapa walizaliwa wakiwa na uzoefu wa uenyekiti waCCM!?
Magufuli ni Fast learner,so he will through kama ilivyokuwa kwa wote waliomtangulia kwy nafasi hiyo, usiogope!

Kikwete na mkapa huwezi fananisha na JPM.
Jk na Mkapa walifunzwa vema kabla ya hata kupata wadhifa wa nchi.

Huyu magufuli anazuia semina elekezi, watu wanaongoza kwa kutumia utashi wao binafsi na sio taratibu na sheria za nchi
 
Bado nafikiria tu, kwa akili ya kawaida Jakaya Kikwete anamkabidhi vipi Joseph Pombe Magufuli chama? Yaani sababu kubwa ni kwamba eti ni utaratibu toka mwanzo?Pamoja na jinsi JPM anaongoza nchi kwa utaratibu huu bado Jakaya Kikwete haoni tu?

Tunampa vipi mtu chama wakati hata jukumu la nchi tulilompa bado ni shida? Yaani kila siku yeye anajifunza tu. Chama ni zaidi ya serikali, chama ni mama, Serikali ni mtoto wa chama, na Serikali huongoza kupitia chama.

Bado naendelea kuvuta picha, yaani haingii akilini kabisa kumpa mtu chama ambaye hujui hata historia yake. Nina hakika ukimwuliza Magufuli akutajie makatibu wakuu wa 5 wa chama waliopita hatoweza, hata taratibu nyingi cha chama hazijui.

Please JK just be serious, dont make a mistake. Be strong, lead the party until you find its the right time for Magufuli

Kwani yeye Kikwete Chama ni chake? Au unafikiri CCM ni mali ya mtu kama ilivyo chadema? CCM ni taasisi muulize fisadi Lowasa atakwambia!
 
Mkuu sina shaka na ccm kupeana pasi za uongozi, tatizo ni kwamba tunaempa pasi leo hii ni mgeni kila idara, anadhani mmaendeleo ni kuondoa ufisadi tu.
Magufuli hana dira yakulipeleka taifa anapotaka, bado anabahatisha njiaa akitegemea atafikaa.
Mbaya zaid wengi wanaona anapotea lkn hakuna wakumwambiaa
Hii nchi imefikia hapa tulipo kwa sababu ya Ufisadi, tukifanikiwa kuuzika ufisadi nakwambia lazima nchi ipige hatua, na kama Magufuli anaweza kupambana na ufisadi basi anatufaa shida yetu ndani ya miaka hii kumi ni kupambana na ufisadi kweli kweli ili kila mtu ajue wizi haulipi kiasi ya kwamba kizazi kijacho kiishi kwenye misingi ya kuogopa wizi
 
Bado nafikiria tu, kwa akili ya kawaida Jakaya Kikwete anamkabidhi vipi Joseph Pombe Magufuli chama? Yaani sababu kubwa ni kwamba eti ni utaratibu toka mwanzo?Pamoja na jinsi JPM anaongoza nchi kwa utaratibu huu bado Jakaya Kikwete haoni tu?

Tunampa vipi mtu chama wakati hata jukumu la nchi tulilompa bado ni shida? Yaani kila siku yeye anajifunza tu. Chama ni zaidi ya serikali, chama ni mama, Serikali ni mtoto wa chama, na Serikali huongoza kupitia chama.

Bado naendelea kuvuta picha, yaani haingii akilini kabisa kumpa mtu chama ambaye hujui hata historia yake. Nina hakika ukimwuliza Magufuli akutajie makatibu wakuu wa 5 wa chama waliopita hatoweza, hata taratibu nyingi cha chama hazijui.

Please JK just be serious, dont make a mistake. Be strong, lead the party until you find its the right time for Magufuli
Kama naanza kuiona fisiem ikisambaratika chini ya utawala wa M/kiti wao mpya ajaye...
 
Bado nafikiria tu, kwa akili ya kawaida Jakaya Kikwete anamkabidhi vipi Joseph Pombe Magufuli chama? Yaani sababu kubwa ni kwamba eti ni utaratibu toka mwanzo?Pamoja na jinsi JPM anaongoza nchi kwa utaratibu huu bado Jakaya Kikwete haoni tu?

Tunampa vipi mtu chama wakati hata jukumu la nchi tulilompa bado ni shida? Yaani kila siku yeye anajifunza tu. Chama ni zaidi ya serikali, chama ni mama, Serikali ni mtoto wa chama, na Serikali huongoza kupitia chama.

Bado naendelea kuvuta picha, yaani haingii akilini kabisa kumpa mtu chama ambaye hujui hata historia yake. Nina hakika ukimwuliza Magufuli akutajie makatibu wakuu wa 5 wa chama waliopita hatoweza, hata taratibu nyingi cha chama hazijui.

Please JK just be serious, dont make a mistake. Be strong, lead the party until you find its the right time for Magufuli
Kama ulikuwa unatanua tumbo kwa pesa za miradi ya chama tawalaCCM hakika hamtapona msimu huu,jiandaeni na mabadiliko ya shughuli za kufanya mwisho wenu ni mwezi huu manyanganyi wakubwa kabisa nyie!
 
Hili jamaa lina mirija kwenye miradi ya Ccm lisubiri mirija kukatwa na mashtaka juu.
..Kama vile nawaona ccm maslai wanavyoshangilia ujio wa bulldozer bila hata ya kujua hatma yao ya kesho..

HAKIKA MTAJUTA.
 
Exactly!!
Jk anaogopa fukuto la kelele kutoka kwa makanjanjaa. Jk anaelewa wazi tunaemkabidhi chama hastahili hata uenyekiti wa chama wilaya
Karibu mwaka sasa hajamaliza kuunda serikali yake
Mpeni chama apoteze miaka mingine miwili,tena ampe Bulembo ukatibu mkuu atufunze kutukana badala ya siasa,wanaendana
 
Mkuu hii nchi ni ya kujifunza sio?
Yaani mnafanya majaribio na maisha ya watu?

Kujifunza kuendesha nchi au chama ni zaidi ya miaka 10.
Tunapaswa kuwapa watu walio iva, wenye uelewa, wakipewa majukumu ni kazi tu.

Sasa tumempa mtu nchi afu tunaona kila siku anatinyanga, eti bado hajazoeaa, anajifunzaa!?,
Hatupo serious Na maisha ya watanzania
Nimewahi kusema,hii nchi ililetwa kwa ajili ya majaribio kwa hiyo hakuna la ajabu hapo
 
Bado nafikiria tu, kwa akili ya kawaida Jakaya Kikwete anamkabidhi vipi Joseph Pombe Magufuli chama? Yaani sababu kubwa ni kwamba eti ni utaratibu toka mwanzo?Pamoja na jinsi JPM anaongoza nchi kwa utaratibu huu bado Jakaya Kikwete haoni tu?

Tunampa vipi mtu chama wakati hata jukumu la nchi tulilompa bado ni shida? Yaani kila siku yeye anajifunza tu. Chama ni zaidi ya serikali, chama ni mama, Serikali ni mtoto wa chama, na Serikali huongoza kupitia chama.

Bado naendelea kuvuta picha, yaani haingii akilini kabisa kumpa mtu chama ambaye hujui hata historia yake. Nina hakika ukimwuliza Magufuli akutajie makatibu wakuu wa 5 wa chama waliopita hatoweza, hata taratibu nyingi cha chama hazijui.

Please JK just be serious, dont make a mistake. Be strong, lead the party until you find its the right time for Magufuli
Nahisi ulizoea kuishi kwa ujanja ujanja na kwa mgongo wa CCM sasa muda umefika tafuta kazi ya kufanya, nyie ndio watu mliorudisha nyuma maendeleo ya nchi.
 
Mkuu hii nchi ni ya kujifunza sio?
Yaani mnafanya majaribio na maisha ya watu?

Kujifunza kuendesha nchi au chama ni zaidi ya miaka 10.
Tunapaswa kuwapa watu walio iva, wenye uelewa, wakipewa majukumu ni kazi tu.

Sasa tumempa mtu nchi afu tunaona kila siku anatinyanga, eti bado hajazoeaa, anajifunzaa!?,
Hatupo serious Na maisha ya watanzania
Tueleze hao waliopita waliokuwa "wanakijua chama" walikiendeshaje?
 
Mkuu sina shaka na ccm kupeana pasi za uongozi, tatizo ni kwamba tunaempa pasi leo hii ni mgeni kila idara, anadhani mmaendeleo ni kuondoa ufisadi tu.
Magufuli hana dira yakulipeleka taifa anapotaka, bado anabahatisha njiaa akitegemea atafikaa.
Mbaya zaid wengi wanaona anapotea lkn hakuna wakumwambiaa
Hao wenyeji ndo wametufika hapa tulipo...ni heri ungekaa kimya!
 
Mkuu hii nchi ni ya kujifunza sio?
Yaani mnafanya majaribio na maisha ya watu?

Kujifunza kuendesha nchi au chama ni zaidi ya miaka 10.
Tunapaswa kuwapa watu walio iva, wenye uelewa, wakipewa majukumu ni kazi tu.

Sasa tumempa mtu nchi afu tunaona kila siku anatinyanga, eti bado hajazoeaa, anajifunzaa!?,
Hatupo serious Na maisha ya watanzania
Unataka tumpe joka la makengeza? Pita hiviii
 
Bado nafikiria tu, kwa akili ya kawaida Jakaya Kikwete anamkabidhi vipi Joseph Pombe Magufuli chama? Yaani sababu kubwa ni kwamba eti ni utaratibu toka mwanzo?Pamoja na jinsi JPM anaongoza nchi kwa utaratibu huu bado Jakaya Kikwete haoni tu?

Tunampa vipi mtu chama wakati hata jukumu la nchi tulilompa bado ni shida? Yaani kila siku yeye anajifunza tu. Chama ni zaidi ya serikali, chama ni mama, Serikali ni mtoto wa chama, na Serikali huongoza kupitia chama.

Bado naendelea kuvuta picha, yaani haingii akilini kabisa kumpa mtu chama ambaye hujui hata historia yake. Nina hakika ukimwuliza Magufuli akutajie makatibu wakuu wa 5 wa chama waliopita hatoweza, hata taratibu nyingi cha chama hazijui.

Please JK just be serious, dont make a mistake. Be strong, lead the party until you find its the right time for Magufuli

Sijui ni ujinga au ni kutia watu wengine ujinga??

Ukijisahau kidogo tu utaanza kutuambia CCM imeshindwa kuleta maendeleo Tanzania, kwa sababu utakuwa umesahau ni CCM iliyokuwa chini ya uongozi wa CCM wenye uzoefu kwelikweli na chama. Huku nako ni aina fulani ya kutofikiri katika 3D
 
Bado nafikiria tu, kwa akili ya kawaida Jakaya Kikwete anamkabidhi vipi Joseph Pombe Magufuli chama? Yaani sababu kubwa ni kwamba eti ni utaratibu toka mwanzo?Pamoja na jinsi JPM anaongoza nchi kwa utaratibu huu bado Jakaya Kikwete haoni tu?

Tunampa vipi mtu chama wakati hata jukumu la nchi tulilompa bado ni shida? Yaani kila siku yeye anajifunza tu. Chama ni zaidi ya serikali, chama ni mama, Serikali ni mtoto wa chama, na Serikali huongoza kupitia chama.

Bado naendelea kuvuta picha, yaani haingii akilini kabisa kumpa mtu chama ambaye hujui hata historia yake. Nina hakika ukimwuliza Magufuli akutajie makatibu wakuu wa 5 wa chama waliopita hatoweza, hata taratibu nyingi cha chama hazijui.

Please JK just be serious, dont make a mistake. Be strong, lead the party until you find its the right time for Magufuli
Wakati ni ukuta mkuu ukifika huna budi. JK enzi zake ziliisha sahivi ni wakati wa mabadiliko kila pahala, hata Baba wa Taifa hakuamini kama aking'atuka nchi itakwenda lakini hakuwa na jinsi tena. Ilibidi astaafu urais na baadae chamani na nchi ikaenda, tulikofika ni hapa hayo mengine ni historia. Kwa msingi huu, hoja yako haina mashiko kabisa.
 
msiwe na mashaka enyi watu,JPM atachukua hatamu tu,mkumbuke hakuna mkubwa kupita chama. Atafanya yale ya kichama vinginevyo tumejipanga kudhibiti hali yoyote ile itakayo hatarisha uhai wa chama.
 
Back
Top Bottom