Kikwete Kipenzi Cha Watanzania. Anaongoza Hadi Kumaliza Muda Wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Kipenzi Cha Watanzania. Anaongoza Hadi Kumaliza Muda Wake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muke Ya Muzungu, Jun 28, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Rais Kikwete Alishind auchaguzi kwa kura 65% licha ya yote, hakun hata mmoja aliyefika asilimia 40%. Kwa maana hiyo JK bado ni kipenzi cha watanzania na ataongoza hadi kumaliza muda wake. Ukiangalia wanaopiga kelele humu jamvini ni walioshindwa wana upinaznia wakiongozwa na wale wanaotaka kupitia mlango wa nyuma kutwaa madaraka wana CHADEMA. Watanzania wapenda amani. JK ndo chaguo letu tuliopewa na Mungu

  Mungu Ibariki Tanzania
   
 2. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umesoma hadi darasa la ngapi?
   
 3. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi unafaidika nini na huo ukuwadi wa kuwagigania watu dhaifu!
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  What will be so special JK akimaliza miaka kumi? Kwani kuna raisi wa Tanzania ambae ameshawahi kuserve chini ya miaka kumi? Hiyo ya kuserve vipindi viwili it was expected kwa hiyo kama moja ya mafanikio yake mtaincludekuserve miaka kumi basi hiyo itaonyesha jinsi utawala wake ulivyo na machache sana ya kujivunia.
   
 5. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Nimependa compatibility iliyopo kati ya jina la mwanzisha thread (FISADI-ORIGINAL) na content ya thread yenyewe....
   
 6. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nilipokuwa Mtoto miaka ya kumi naa,nilikua nampenda sana Kikwete,Kwa muonekano wake akiwa Mbunge na kisha Waziri. I used to like him the way anavyodress na muonekano wake ambao kwa zama hizo alikuwavery modern.Kumbuka umaridadi nao ni kipimo cha tabia ya mtu,lakini kwa sasa hivi tena bongo yetu watu wamchakachua imefika hatua umaridadi usichukulie kuwa ni kigezo labda kwa wenzetu huko majuu.

  Kuna wakati nilikata kipande cha gazeti ukurasa wa michezo, nikaweka kwenye Albamu yangu ya picha zangu za michezo zikionyesha yeye akiwa na Mwalimu Julius Kambalage Nyerere pale indoor alipompeleka Mwalimu kwenye mashindano yake kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.

  Mpira wa kikapu [Basketball] ndio mchezo wangu mimi ,nilivyokuja kuona hata waziri huyo pia ni mpenzi wa mchezo huo ikaongeza zaidi mapenzi kwa Rais huyu ,ambae wakati huo ni waziri, na alivyompeleka Mwalimu kwenye mashindano yale ya kumuenzi ndio akaongeza zaidi kujua kumbe, Mwalimu na ubabe wake wote wakutokuonekana kwenye michezo ya kiaina aina ameitikia basi huyu Mkuu anaiva na Baba wa Taifa, ukizingatia Mwalimu hata kwenye soka,sina kumbukumbu kwa miaka hiyo namjua Mwalimu kumuona kwenye ushiriki wa matamasha ya michezo kihivyo.

  Ushiriki wa Mwalimu kwenye tamasha kumbukumbu yake ya kuzaliwa la mpira wa kikapu hilo uliniongezea mshawasha, hivyo kama kijana niliyekuwa nasoma ukijumlisha na rika la umri wakujitanabaisha basi uniambii kitu. Ukiniambia Kikwete kuwa Rais jua nilishiliki nae kwa maana ya mapenzi ya kutamani kumuona siku moja nae Rais Wa Jamhuri Ya Muungano, kama alivyopata kuwa Nyerere.

  Ulipita Mchakato tukiwa watoto hatujui wakubwa wanafanya nini,ikaonekana awezi kuwa Rais,kazidiwa kura,kweli kama kijana mtoto wa sekondari mwenye uelewe wa wastani ukizingatia malezi na watu waliokuzunguka kimaisha,niliona wamemuone kwa kuwa kijana sana na wakati mwingine wazee wanaona kama kijana mvaa jeans ndio maana wamemnyima.

  Nikaridhishwa baadae na kauri ni iliyofuata kuwa Mwalimu kasema bado kijana sana,nikasema poa kwa kuwa wakubwa wameamua sawa,Asilimia mia kwa siasa za Tanzania zama hizo Rais Kikwete nilikuwa namfagilia sana Mkuu huyo,pembeni yake yuko boyz 2Men mwenzie EL,ukileta na purukushani zake za bungeni kidogo nilikua namfagilia na kwa upande wake nilipenda zaidi Nywele zake kutokana na yule mcheza kikapu machachali mwenye vituko Dennis Keith Rodman [Dennis the Menace ,Mshindi wa ligiy kikapu ya Marekani NBA ambae rekodi yake ya kuokota mipira ya body (the best rebounding foward in NBA,Marekani ,history,1989,1990,1996,1997,1998)],basi na nikimuona Ndugu huyo na nywele zake zile za asili basi ananikosha kwa kiwango chake lakini si cha kumfikia Kikwete.

  Ulipofika wakati wake,kama kauri za wengi na mategemeo ya wengi, kuwa Kikwete ni chaguo la Mungu,basi nilikubali mie pia kwa moyo wa dhati,ukizingatia mambo mengi sana yalikuwa yamepita kizungumkuti.Nikajua mkombozi kaja na alichonimaliza nacho aliposema Tanzania ataifanya kuwa Mwadui [Williamson Mine].Kwa wale wanaojua mgodi huo wanasema maisha yalikuwemo humo hayajapata kuwepo popote pale Africa hii, Yaani ni Ulaya kama unavyojua Ulaya kwa wale waliokwisha fika Ulaya na kwa wale wenzangu mimi watoto wa nyumbani bongo kama vile unavyomuona kwenye kideo cha home kwenu au bandani kwa Omary pale kitaani kwenu, Lily Wayne, au Mark Sinclair Vincent [Vin Diesel] kwenye movies,wakikatisha mitaa ya USA, mitaa hiyo sawa unavyoiona huko ndio Mwadui ilivyokuwa,wanasema sasa hivi ni kwishiney babujii.

  Kilichofuata matumaini yangu yalianza kupungua japo watu wangu ambao walinijua kuhusu ushabiki wangu kumtetea kuwa makucha yake na uchapakazi wake mtayaona they started to prove me wrong.......Sikuamini lakini ikafikia hatua nimekaa kimya na sina tena cha kuthibitisha maombi yangu kwa Mungu to have the best Young President who will try to create a unique Tanzania the way Mwalimu did to his era,but his creativeness shoud be modern to suits the new coming generation, especially the Dotcom Generation [DG].

  Namuomba Mungu safari hii sichagui mimi naomba yeye atachagulie....Ila My President Still has much time to rebuild and bring a new hope kwa mamilioni ya Watanzania waliomkubali kwa kishindo.Makosa yameumbiwa binadamu,na binadamu ndio sisi,kukili kosa sio kosa,kosa kuludi kosa.Vinginevyo SIKIO LA KUFA HALISIKI DAWA.

  Urais ni wito,Mwalimu ansema unapita barabarani unakuta watu wanashida,maisha magumu,hakuna madawa,chakula kula kawa shida,kazi hawana,hawana maji,malazi na mavazi hafifu ukiyaona hayo yote ndani ya mboni ya macho yako,ukayapeleka kwenye mishipa yako ya fahamu ya damu yakafika moyoni,moyo wako utasisimka na mwili utajisikia kuna tatizo jua ishara hiyo kuwa sio tatizo la hao unaowaona kwenye shida hizo, elewa ni tatizo lako wewe kama RAIS, na majibu ya shida hizo yanatoka kwako.

  Elewa kuwa huo ni mzigo wako,jibu lao liko kwako,tabia ya kuyaona maisha ya shida ya watanzania kama ni uvivu wao ni DHAMBI KUBWA KWA MUNGU.Mungu akiona watawala hawasikii anawapa upofu na ukiziwi wa kutokusikia au kuona nini kinaendlea kwenye jamii, kwa kuwa wanakua wamekaidi kilio chake HAPO NDIO SIKIO LA KUFA HALISIKII NA HALINA DAWA.Nilivyomuona RAIS JAKAYA KIKWETE anaingia madarakani kabla hajawa Rais naamanisha upendo nilioujenga sitaki kupata picha nisiyopenda kuiona bado naamini kuna muda Last Minute,nilipata kuambiwa na msure mmoja kuwa uyaone, ama kweli kua uyaone.
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Jk ni kipenzi cha "WAPUMBAVU"
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Alishinda kwa 61%, cheki vizuri huko ulikotoa hizo takwimu na sio kukurupuka tu. Ishu muhimu kwa sasa ni mgao wa umeme na sio ushindi wa JK. Tufanye kazi wajameni.
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kweli wewe bado hujamaliza shule, Sharabalo Nchi imemshinda wacha kusifia ujinga
   
Loading...