Kikwete - Kibaki - kipanya - siasa na ujumbe mzito


R

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
2,776
Likes
16
Points
135
R

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
2,776 16 135
Hawa watu wa katuni hivi ni kwamba wana akili sana? ama ni kipaji tu wanacho kuwa wame jaaliwa? ujumbe wao huwa ni wa moja kwa moja, na ni mwepesi kueleweka, kinacho nishangaza nijinsi walivo wepesi kufikiria hivi vipicha vyao na kuvioanisha na jumbe hizo! Good job!
 
Shemzigwa

Shemzigwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2007
Messages
337
Likes
1
Points
0
Shemzigwa

Shemzigwa

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2007
337 1 0
Angalieni hapo kibaki kababaika wakati anaapishwa Hadi kasema atatenda kazi yake ya uhalifu,urais http://www.bbc.co.uk/swahili/ click Amka na bbc kama dakika ya tatu wakati anaapishwa
 

Forum statistics

Threads 1,236,196
Members 475,029
Posts 29,249,452