Kikwete: Katiba mpya isiegemee udini, ukabila au kulenga kuvunja muungano

Amegundua lini kwamba Udini ni mbaya! Mbona hakukemea kipindi cha Uchaguzi mkuu 2010, pamoja na magazeti ya Annur na Radio

Iman zilivyojitokeza wazi kuwataka Waislam wasimpigie kura "Padri" Slaa na wampigie yeye kwa sababu ni Muislam, ni mpaka ulipopita? Mbona hakukemea wakati wa Uchaguzi mdogo wa Igunga?

Sasa hivi ameshaona alichokifuga kwa faida binafsi ya kisiasa kimekuwa na kuota mapembe na kutishia utawala wake ndio anakuja na ngonjera za kichina hapa! Atulie tu anyolewe kwani wembe kaununua mwenyewe!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wacheza disco ndio wadini wakubwa! Wanatamani nchi yote ijae kumbi za disco tu! Wanaosababisha hadi sasa hali kuwa tete ni vigazeti na viradio mbao vilivyojaa makanjanja, hawa wataiangamiza nchi siku sinyingi.

Tumeshuhudia yalotokea Zanzibar ukweli unajulikana CCM ndio waliochoma makanisa ili ishu ya kutaka muungano uvunjike ife na ishu igeuke kuwa ya kidini na mwisho habari ya muungano ikiguswa ionekane ni udini. Jiulize kwanini hadi sasa haiundwi tumehuru kuchunguza ishu hii? Ishu inajulikana ndio maana makanjanja wanang'ang'ania vitu visivyopo ili kudivert mind za mazuzu wasiojua kinachoendelea.

Mmesahau janjaweed ilivyofanya uharibifu Zanzibar? Ndio hao walotumika kuchoma makanisa Zanzibar,Waislam na Uamsho ni kisingizio tu ili kuhalalisha dhulma.

Bornvilla, hapo kwenye red: wanaweza pia kuwa wana-uamsho in addition to CCM?
 
Bornvilla, hapo kwenye red: wanaweza pia kuwa wana-uamsho in addition to CCM?

WANA UAMSHO WANADAI HAKI YA NCHI YA ZANZIBAR TU

552824_10151234021009152_1295757788_n.jpg
 
Mi na hisi chokochoko za udini zinatokana na wengine kutokukubali kuona rais hawi wa dini yao hasa ukiangalia majina ya watu wengi walioonyesha nia ya kuwania urais, wanatamani aendelee kuwa wa dini yao hatakama haonekani anawasaidia watu wa dini yake Direct, na hili la uwezo wa rais wenzetu hawalitilii maanani hata kama uwezo wakuongoza ni mdogo, Wana JF Jiulizeni kwanini wao wakitoa rais mfumuko wa bei na kuvurugiga kwa uchumi kunatokea kwao?.
Abdulsahaf, wewe nafikiri ni mzenji, Hilo kwanza.

Pili posti yako imekaa kinafikinafiki kidogo, unamwonyesha Rais JK akiwa amevaa kuashiria Rais Mwislamu wa Tanzania.

Tatu picha na ujumbe ulioandika haviendani, yaani Rais anayepinga udini ndo mwenyewe mdini, kwa jinsi alivovaa.

Nne kudhihirisha kuwa posti yako ni ya kinafiki, umeshindilia kwa maoni yako mwenyewe kupinga muungano.

Tumewazoea wazenji, mnakuja Kama mnvyokwenda.
 
Back
Top Bottom