Kikwete Kachaguliwa na NEC, Vyombo Vya Walipa Kodi! Demokrasia Afrika Inaendelea! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Kachaguliwa na NEC, Vyombo Vya Walipa Kodi! Demokrasia Afrika Inaendelea!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Nov 6, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Well! Wengi Tulifikiri May be This Time Hawatadanganya Tena, Lakini Hawaogopi Wananchi Kabisa. Katiba Wanaandika Wao, Tume/NEC Wanaunda na Wabunge Wao Wakitumia Pesa za Wananchi Dodoma, Wanatumia Hao Hao Usalama wa Taifa na Vyombo vya Ulinzi Ambavyo Vinalipwa na Pesa za Kodi za Wananchi, Wanatumia Vyombo vya Habari(Daily News na TBC) Pia Wanalipwa na Pesa za Kodi za Wananchi. Ukifuatilia Haya Unaona Wananchi Wamekua Kidemokrasia Sana ila Watu Ambao Wapo Nyuma ni Hao Hao CCM. Sababu Hii Uchaguzi Tumeshinda na Mimi Nashauri Watanzania Tuendeleee Jitihada za Kutomtambua Kikwete Kama Raisi Halali. Wapo Viongozi Wengi Kama Hawa Afrika! Kwa Wale Watanzania Tunaotaka Kuisaidia Nchi Tuendelee Kufanya Hivyo Kwani Mahitaji Yapo Mengi na Tunajua Haya Yanamwisho! Uchaguzi Ujao Kama Yafuatayo Hayajafanyika Hatutakuwa na Uchaguzi Tena:
  I. Katiba Ya Nchi Irekebishwe Vipendengele vya Utumiaji wa Vyombo vya Usalama Vizuiwe
  II. Raisi Alie Madarakani Aondoke Madarakani Bila Kujiusisha na Maswala ya Uchaguzi
  III. Vyombo vya Serikali: Media, Watumishi wa Serikali Visitumike Kukampeni kwa Ajili Chama Chochote
  IV. Tume Iundwe na Ikubalike na Vyama Vyote vya Siasa
  V. Vyama Vyote Vipate Kuruhusiwa Kuhesabu Kura
  VI. Documents Zote za Uchaguzi Ziwe Public Information
  "CCM Inamwisho na Muangalie Mabutu Yupo Wapi Sasa! Wananchi Hawakuwapigia Kura Kwa Ajili ya Failed Policies!
   
Loading...