KIKWETE JUU! Amechaguliwa kupatanisha Ivory Coast...PHD NYINGINE!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Wadau,
nimeipata BBC SWAHILI, JK kapata tena ujiko, yu ndani ya jopo ya marais watano wapatanishe Ivory Coast!
Nawasilisha Jamvini...
 
yeyey aende tu lakini ajue akirudi hapa na yeye anaombwa kuondoka madarakani
 
Wameona na yeye ndie mwenye muda ...... marais wengine wako busy kuwaletea wananchi maendeleo...
yah man.....dowans,umaskini,elimu chini,rushwa........yeye anakenua meno kupewa upatanishi....apatanishe kwanza upupu wake humu
 
Tunamngojea hapa ndani arudi kujibu ya dowans na nduguze..haya sijui ujiko, ni juu yake mwenyewe..haituhusu sisi walalahoi hapa bongo
 
Akitumia pesa zetu na misafara isiyo na kichwa tutahakikisha harudi tena nchini bora angekataa asituletee ujinga watu tunakula mo mmoja yeye anataka kuchezea kidogo kilichopo kwa mzinguko isiyomhusu
 
Kazi ya shekhe Yahya na madawa yake ya mivuto pamoja na jeshi la majini linalo mtangaza dunia nzima.
 
Imechaguliwa nchi so ye kaingia tu kwa kuwa anajiita mkuu wa nchi otherwise sitegemei jipya hapo!
 
Wame-boogie step... maana Mkwere hivi karibuni alishasema lazima jamaa aachie madaraka sasa wanadhani atakubaliwa na pande zote? yatakuwa yale yale ya Raila Odinga...
 
BANTUGBRO.
Wame-boogie step... maana Mkwere hivi karibuni alishasema lazima jamaa aachie madaraka sasa wanadhani atakubaliwa na pande zote? yatakuwa yale yale ya Raila Odinga...

UMEMSAHAU MKWERE ALIVYO MNAFIKI ANAWEZA AKA PLAY TRICK ILEILE YA KIBAKI NA ODINGA ILI APATE POPULARITY TENA AMBAYO TAYARI KAISHA IPOTEZA.
 
Angerepatanisha viongozi wa CCM kwanza Sitta, Lowassa, Rostam, Mwakyembe na wengineo
 
Back
Top Bottom