Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

Mnamo Oktoba 2007 niliandika Makala ya Kiigereza kwenye Thisday kuhusu Lowasa na Richmond yake. Makala hii ilikuwa kabla Bunge alijaunda kamati ya Mwakyembe. Niliyoandika katika Makala hii ni kama nilitabiri kwa kiasi fulani kuhusu hatma ya Lowasa. Naitoa hapo chini bila kubadilisha chochote wenye muda waisome:

GUESS WHAT? MR. LOWASSA HAS A TASTE FOR RAP MUSIC!

I don't know how many people in this country who do not belong to Generation X (kizazi kipya) can remember a song popularly known as "It wasn't me!" This song by a Maestro rapper Shaggy or "Mr. Lover' topped the song charts in the early 2000's.

Prime Minister (PM) Edward Lowasa is not a man of yesteryears as far as the music is concerned. He is very up to date, so to speak. I was caught between tears and laughter when I read the headline in ThisDay Newspaper of Monday 15th October 2007. The front page headline read as "I wasn't involved, says PM Lowassa". With the controversial Richmond deal back on the front pages in the mainstream print media, Mr. Lowassa has once again broken silence over the issue. This time round the PM is coming out with a "it wasn't me" rap mantra! Who would like bet that Mr. Lowassa doesn't know one or two things about rap music?

The above story makes a depressing reading when the whole Prime Minister gives out a press release through his Press Secretary saying "The prime minister was never involved in the Richmond negotiations. All he did was to assume a general, overseeing role in government's efforts to ensure the power shortage problems afflicting the country at the time were URGENTLY (emphasis is mine) addressed". Ooh, lala! (to use a French exclamation) Really?

For god's sake this is exactly what the prime minister's job description is all about! The role of overseeing government matters. In particular, issues which are urgent in nature require direct overseeing, direction and if need be, prudent intervention by the prime minister. Is the prime minister, for example, telling us that it is the first time is learning that TANESCO was pushed aside and short changed during the emergency power supply tendering process? Is the Right Honorable PM announcing to the world that he learnt about this through corridors and the press as a commoner just like me?

Had the Richmond deal come through nicely Mr. Lowassa would have been the first one to go to parliament, chest thumping and with great bravado declaring that this was possible because of his wise leadership and foresightedness. Meanwhile, his speech would be interrupted by "CCM Oyee, Lowassa Juu" from the over excited CCM law makers! But with the Richmond contract gone sour, the PM is pitifully trying to keep a very long distance. Talk of double posturing!

What is so amusing about the prime minister's response is that the Richmond repudiation has now become a song and dance for the prime minister but the saga has stuck like super glue. The appalling scandal has simply refused to go away just like a bad arm pit odor (kikwapa)! Even the best beauticians in town have failed to suppress the stench which has been lingering since 2006. Mr. Lowassa should not grill ThisDay for "reviving" the issue of corruption related to the Richmond transaction. I am certain the PM is well informed about the lecture on corruption by a distinguished former civil servant, Mzee Joseph Butiku. Mr. Butiku intimated to the public on Sunday 14th October 2007 that corruption can not simply go away because it is "unfinished business". However, the PM seems to think otherwise. But how can Richmond saga die a natural death when up to now the country has never received even an iota of thermo power from a project "generally overseen" by Mr. Lowassa?

To add insult to an injury the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) (a proficient beautician?) was brought into the picture to soothe public anger over the Richmond circus. Quite frankly I do not envy Mr. Edward Hosea in his current plumy job. The PCCB Czar did not know that he was being used as a doormat when he promptly and without any sense of shame cleared the Government of wrongdoing by giving a clean bill of health stating that the Richmond deal was corruption-free! Eti, (according to PCCB) although the tendering procedures were not followed to the letter, the deal was therefore devoid of graft because the Government did not part with a single coin! How can you envy a man who is being asked to defend the indefensible and cover the un-coverable? In doing so, the PCCB chief did not only undermine the credibility of the anti-graft watchdog but also turned himself into a comic.

In theatrical parlance Bwana Hosea was playing the most dubious and awkward part of announcing to the gallery that all those who did not see the emperor's new and majestic attire were sinners! Where will Mr. Hosea hide is face now that a young mischievous child in the name of Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) has embarrassingly come out and pronounced that after all the emperor is naked! This act has now sent the whole prime minister scampering for cover, declaring "it wasn't me"! Who was it, sir? Mr. Lowossa should do himself a favour by spilling the beans now to save his public standing or else this indignity will haunt him for long while. This will be good fodder for Mr. Lowassa's foes in 2015.

I am not a lawyer but the little I know about law is that even an intention to commit a crime is illegal under Tanzania laws. Why did a smart lawyer like Edward turn himself into a butt of jokes by turning a blind eye on the most glaring anomalies in the deal that have subsequently been unearthed by PPRA?

Had the Richmond fiasco happened in the mature democracies, Mr. Lowassa would have hanged his prime minister's gloves long time ago. He would be tending his cows in Monduli and possibly writing the last chapter of his memoirs. By publicly and implicitly acknowledging that he somehow kept his eye off the ball during the emergency power procurement process, Hon. Lowassa does not merit good grades on the leadership scoreboard. The prime minister has also dismally and abysmally failed to shake off the notion that he was not above board when dealing with the emergency power project. But Tanzania is still a "kindergarten" democracy so Mr. Lowassa is going to stick around for a while.

Mr. Lowassa does not have many options to maneuver on the Richmond deal. As a head of government he should come to terms with the fact that the emergency power project was bungled under his watch. He should take political responsibility, put to task his subordinates who might have"misled" him, swallow his pride and offer public apology so that we can put this scandal behind us. Akubali yaishe in Kiswahili.

If the above prescription proves a bitter pill to swallow, Mr. Lowassa can opt for all night long prayers in the hope that come 2015 the likes of ThisDay Newspaper will not be around to invoke the Richmond ghosts. These ghosts will jog the public's memory to ensure the Richmond tale is still pending, unfinished business. 2015 will not be the time for the "it wasn't me" antics.





Byase Luteke is a Socio-Political Critic based in Dar Es Salaam
E-mail: byasel@hotmail.com
 
ndio maana zitto alimwambia yule mwenyekiti wa cdm aliehamia ccm anahamia chama kinachokufa akina lowasa wakisimama kidete kwenye hili ccm mazishi yamekaribia wao kazi ni moja tu kumwaga mboga tu
Kuhama mwenyekiti na katibu ni pigo kwa chama kwa maana hiyo Zito alikuwa anajitetea.
 
Kila mara tumekuwa tumekuwa tukiwatahadharisha viongzi waioko madarakani kuacha ushabiki wa Katiba mbovu. Laiti kama Katiba ya Tanzania ingekuwa inaruhusu mtu kuhama chama na akaendele na ubunge wake kama ilivyotokea Kenya wangekuwa na uwezo zaidi wa kupambana. Hii ni wake up call kwa wanasiaisa wote kutengeneza level playing field which might one day help you.
Ubinafisi na uroho wa madaraka uliwazidi kungekuwa na mgombea binafsi waneachia CCM na kuendelea na siasa wao binafisi lakini sasa ni mizigo ambayo haibebeki CCM hawawataki, vyama vya upinzani hawataki CCM wakichukua kadi zao hata ubunge hawana labda wakanunue chama cha watu kama akina Dovutwa
 
Kwanza ni vigumu kwa hawa ambao napenda kuwaita " the three musketeers" kuweza kupambana uso kwa uso na CCM wakashinda hasa katika hili joto kali la suluba. Wakijaribu watafukuzwa kwenye chama na hivyo kupoteza ubunge. Wakijaribu kujiaunga na vyama vingine kwa wakati huu hakuna chama kitawataka maana ni mzigo (liability) maana hakuna chama kinaweza kuwabeba "mafisadi". Kitu ambacho wanaweza kufanya ni kusubiri hadi 2015 na kuleta fijo zao dhidi ya CCM maana hawatakuwa na kitu cha kupoteza. Nionavyo mimi ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko EL kupata ugombea urais kwa tiketi ya CCM. He is damaged goods now.

Kwa hakika hawa jamaa ambao ni axis of evil mbele ya watanzania ni zigo la haja kubwa ambalo hata siku moja haliwezi kupata mbebaji. The guys are unpopular na ndiyo maana hata siku moja hawatathubutu kuhama au kuanzisha chama kipya. Hiyo ni kwa sababu hawana ushawishi, mvuto au ujasiri wa kujinadi mbele ya umma. Nje ya CCM hawa jamaa si chochote na hawana ubavu wa ku-survive politically.

Tunawasubiri kwa hamu wajitokeze wenyewe hadharani badala ya kukodi mamluki wa vyama vingine na kujaribu diversionary tactics kwa kujifanya kuja na orodha ya mafisadi wapya. Kushughulikiwa kwao hakukutokana na orodha ya wapinzani. Machinery ya chama imegundua kwa namna yake kwamba watu hawa ni magamba yanayostahili kuteketezwa ili kuinusuru nchi na chama. Waanze vita moto uwababue.
 
Mbona chadema imeshashinda uchaguzi 2015?
Bado tuu hujaona ndugu?..

Dalili njema huonekana asubuhi,
chama kimetulia na watu wanatafakari jinsi ya kuongoza nchi..
Hii ndo kazi pekee iliyobaki kwa wana-CHADEMA.
TUWASHAURI VIONGOZI WETU WAWE WATU WA WANYONGE NA SI MATAJIRI KAMA CCM.

Tunampongeza Mh Godbless Lema kwa kazi anayoifanya...
Ni kwa manufaa ya watanzania wote bila kujali itikadi,rangi,jinsia,kabila wala ukanda.
 
Hata hicho chama cha Dovutwa kitahitaji kuwa popularised ili kiwe na nguvu ya kushindana hata na NCCR. Swali ni kwamba watatoa wapi wafuasi wa kuwaunga mkono hadi kupata ushindani huo? Nani angependa kuhusishwa na chama ambacho wamiliki au viongozi wake ni walafi na wenye nia ya kuangamiza watanzania wenzao kwa sababu ya uroho wao wa kupenda fedha? Hata hiyo katiba ya Kenya na sheria ya vyama vya siasa viko na msimamo kama wa hapa kwetu. Ukihama au kuondolewa unatakiwa uka-seek fresh mandate kwa wananchi. Jamaa are placed between a rock and a hard place na sasa watajuta kuzaliwa! Wanalipia dhambi walizowatendea watanzania wasio na hatia.
 
ndio maana zitto alimwambia yule mwenyekiti wa cdm aliehamia ccm anahamia chama kinachokufa akina lowasa wakisimama kidete kwenye hili ccm mazishi yamekaribia wao kazi ni moja tu kumwaga mboga tu

ndio maana mimi nikasema wakiamua huyu hamalizi mda wake pale magogoni..........huwezi kuwapet pet wenzako mwaka jana octoba na leo unawageuka nawao wakakubali kufa huku wakiwa uchi wa mnyama........uanze kuwavua shati,......uje vest........suruali......pajama......na uje chini wakushike kichwani halafu uwavue viatu na utoe soksi........halafu wewe ubaki salama.......leo hii ukimpafa jk hapo na ukawa nae kona atakwambia kuwa yeye alimsikiliza kinana.......na alikuwa hajui kitu.....

 
Nataka nione hicho kiama cha akina Lowasa kama kweli kitakuwepo au ni danganya toto!
 
dOVUTWA FAHMI DOVUTWA.......SKAUTI MZEE MKIMBIZA MWENGE....

KWANZA KAMPENI ZILIPOANZA ALLILALA KAMA NUSU MWEZI, AKIPIGWA PICHA AKIWA NA MSULI NYUMBANI KWAKE AKIDAI ANAUMWA NA TUMBO....

AKAPIGA KAMPENI KIDOGO AKASEMA KUZA ZANGU MPENI JK......

SWALI NI KWENU WATU WA SYSTEM...JE KAZI YENU NI IPI? NA JE MNAITUMIKIA SYSTEM GANI....NA IKIBADILIKA MTAENDELEA KUWEPO AU MTAJIACHISHA WENYEWE KAZI?
 
chadema waanchofanya ni kutafuna mizizi ya mbuyu......majani juu ya mbuyu yameanza kunyauka upande mmoja kwa kuwa mvua inanyesha mbuyu utaanguka haraka sana maana kasi ya kuoza ni kubwa,..........ccm bila kutumia akili wao wamemwaga maji na mtoto akiwa ndani ya beseni.............hakika hawako salama.......wale vijana kina january na mwenzake nape hawana mda mrefu watanyamaza....na hii itakuwa ndani ya siku hizi 90 walizopeana
 
Kwa hakika hawa jamaa ambao ni axis of evil mbele ya watanzania ni zigo la haja kubwa ambalo hata siku moja haliwezi kupata mbebaji. The guys are unpopular na ndiyo maana hata siku moja hawatathubutu kuhama au kuanzisha chama kipya. Hiyo ni kwa sababu hawana ushawishi, mvuto au ujasiri wa kujinadi mbele ya umma. Nje ya CCM hawa jamaa si chochote na hawana ubavu wa ku-survive politically.

Tunawasubiri kwa hamu wajitokeze wenyewe hadharani badala ya kukodi mamluki wa vyama vingine na kujaribu diversionary tactics kwa kujifanya kuja na orodha ya mafisadi wapya. Kushughulikiwa kwao hakukutokana na orodha ya wapinzani. Machinery ya chama imegundua kwa namna yake kwamba watu hawa ni magamba yanayostahili kuteketezwa ili kuinusuru nchi na chama. Waanze vita moto uwababue.

Orodha mpya ya Mafisadi ni muhimu zaidi wakati huu ili kuwaamsha watanzania wafahamu nini kiko wapi na mkononi mwa nani kwa kuwa sasa hata CCM wanakubali upo wizi mkubwa wa mali na raslima za taifa na huo ndio mwanzo wa kurejesha mali za taifa. Najua wengi wanajaribu kumteteta Mhe Magufuli lakini kama hao watatu walivyo zigo na yeye pia analo zigo la kweke nalo ni kuuza Viwanja na nyumba za Serikali. KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977

27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda mali asilia ya Jamhuri
ya Muungano, mali ya Mamlaka ya Nchi na mali yote
inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuiheshimu mali
ya mtu mwingine.

(2) Watu wote watatakiwa na sheria kutunza vizuri mali ya
mamlaka ya nchi na ya pamoja, kupiga vita aina zote za uharibifu
na ubadhilifu, na kuendesha uchumi wa taifa kwa makini kama
watu ambao ndio waamuzi wa hali ya baadaye ya taifa lao.

Nenda Europe yote Municipal Authorities ndio tajiri mkubwa kutokana na kumiliki Prime land yote katika miji husika. Developers hujitokeza na kujenga Properties fro rent. Kama Serikali ilishindwa kuendelea kumiliki Prime Plots na nyumba za Serikali kwa niaba ya watanzania ilitakiwa kuzihaimishi NHC au Municipa Authoroties lakini sio kuhamishia vitu hivyo mkononi mwa watu binafsi tena viongozi kwa bei chee. Je kwa kufany hivyo ndio "kutunza vizuri mali ya mamlaka ya nchi na ya pamoja, kupiga vita aina zote za uharibifu na ubadhilifu, na kuendesha uchumi wa taifa kwa makini kama watu ambao ndio waamuzi wa hali ya baadaye ya taifa lao". HUO NI UFISADI!!!
 
ndio maana mimi nikasema wakiamua huyu hamalizi mda wake pale magogoni..........huwezi kuwapet pet wenzako mwaka jana octoba na leo unawageuka nawao wakakubali kufa huku wakiwa uchi wa mnyama........uanze kuwavua shati,......uje vest........suruali......pajama......na uje chini wakushike kichwani halafu uwavue viatu na utoe soksi........halafu wewe ubaki salama.......leo hii ukimpafa jk hapo na ukawa nae kona atakwambia kuwa yeye alimsikiliza kinana.......na alikuwa hajui kitu.....


ni bora akuvue pajama mtu alieshinda kihalali hawa wanajua siri zote za uchakachuaji wakijaribu tu wanazama wote sie tunasubiri watuambie mkuu alipata asilimia ngapi kama itafika 40 ni bahati sana.
 
ni bora akuvue pajama mtu alieshinda kihalali hawa wanajua siri zote za uchakachuaji wakijaribu tu wanazama wote sie tunasubiri watuambie mkuu alipata asilimia ngapi kama itafika 40 ni bahati sana.

hilo la asilimia hata wakilizungumzia halina maana sana.........wao watakachofanya ni kuonyesha wapi jk alikuwa na mkono wake na alihusika vipi........hilo tu linatosha kummaliza jk..kwa yeye kajifanya mjanja na wao watamuumbua.......mwaka jana walimwambia aanike wakati jua linawaka akajifanya hasikii......sasa jua limezama...analazimika kuutwanga ukiwa mbichi

 
chadema waanchofanya ni kutafuna mizizi ya mbuyu......majani juu ya mbuyu yameanza kunyauka upande mmoja kwa kuwa mvua inanyesha mbuyu utaanguka haraka sana maana kasi ya kuoza ni kubwa,..........ccm bila kutumia akili wao wamemwaga maji na mtoto akiwa ndani ya beseni.............hakika hawako salama.......wale vijana kina january na mwenzake nape hawana mda mrefu watanyamaza....na hii itakuwa ndani ya siku hizi 90 walizopeana

Kwa haya yote yanayoendelea Muda ni Hakimu Mzuri sana...ndio maana waingereza wakasema TIME WILL TELL ......LETS WAIT AND WATCH OUT


 
Hii sinema inaelekea episode za mwisho mwisho. Na utabiri wangu ni kuwa pamoja na harufu za damu za wenye kuhisi kumiliki chama; pia CDM itakumbwa na mtikisiko mwingine mkubwa kupiti viongozi wake wa juu. Zitto na Mbowe watakuwa upande mmoja kupokea misaada ya EL na genge lake huku wakimficha Dr. Slaa. Dr. Slaa ataishia kupewa mabomu akalipue huku "wakuu" wakinufaika na kutoa makazi na uwanja wa kurushia makombora kuelekea ccm. Haya ni maono yangu tu!
 
Hii sinema inaelekea episode za mwisho mwisho. Na utabiri wangu ni kuwa pamoja na harufu za damu za wenye kuhisi kumiliki chama; pia CDM itakumbwa na mtikisiko mwingine mkubwa kupiti viongozi wake wa juu. Zitto na Mbowe watakuwa upande mmoja kupokea misaada ya EL na genge lake huku wakimficha Dr. Slaa. Dr. Slaa ataishia kupewa mabomu akalipue huku "wakuu" wakinufaika na kutoa makazi na uwanja wa kurushia makombora kuelekea ccm. Haya ni maono yangu tu!
teh teh teh
 
Hivi Kikwete kwanini anaogopa kuwataja mafisadi wakati anawajua mzigo anauangusha kwa wenzake huo mkutano ulikuwa wa kindfiki tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom