Kikwete jiandae kufunga vyuo vikuu vyote leo tena st john wamegoma!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete jiandae kufunga vyuo vikuu vyote leo tena st john wamegoma!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by USTAADHI, Dec 21, 2011.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mpaka sasa wanafunzi wote wa chuo kikuu cha mtakatifu john MAZENGO DODOMA nao wamefukuzwa na jeshi la polisi na chuo kufungwa kutokana namadai yao yaliyokuwa yanaendelea kwa siku 2 mfululzo, baada ya chuo kushindwa kuwapatia fedha zao za chakula zinazosadikiwa kutolewa na bodi ya mikopo mapema kuanzia trh10 dec kwa hili pia hakuna utatuzi kutoka serikalini zaidi ya kusikia tena kesho kuwa wamefukuzwa moja kwa moja bila kujali kuwa aliyekuwa chanzo cha mgomo ni nani si muda kikwete wanachuo watakuja kwako usilaumu:A S 465:
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  He does't care anachoangalia ni miaka mingapi imebaki awaachie matatizo yenu.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  Serikali yetu ni sawa na kuku anayetaga mayai na kuyadonoa.
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Endeleeni kuwa wavumilivu na watiifu na wapole ili kudumisha amani na uvumilivu katika kisiwa hiki cha amni kiitwacho Tanzania
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  ha ha! Nashukuru kwa kulitambua hilo.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Au nguruwe anayezaa na kuwala watoto wake huku wakiwa wanamwangalia na kupiga kelele
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aendelee kuangalia miaka iliyobaki tu ila laana zake atakazozipata atajuta kuwa raisi wa TZ
   
 8. M

  Myamba Senior Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  This is becoming too much of him!
   
 9. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bora njaa kwenye amani kuliko pombe na nyama choma vitani.!!!
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kama nimemwelewa vizuri mleta hoja ni kwamba hiyo hela ilishatolewa na bodi ya mikopo siku nyingi, meaning kwamba wenye matatizo ni uongozi wa chuo. Sasa sina uhakika kama lawama hizi tumeelekeza mahali husika. Kwa nini tusivisakame vyuo vyetu kwa kushindwa kufanya yale vipasayo kuyafanya?
   
 11. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wewe hiyo danganya toto ili wa2 wa2lie lakini hiyo pesa hakuna m2 wangu yaani haipo.
   
Loading...