Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,257
- 105,389
Rais wetu kajitahidi kujenga hoja.. ila Revenue ya $1Bn. a month naona iko over-ambitious unless tuongeze na kupanua tax base...
Dola bilioni moja kwa mwezi unaona hela ya ajabu kwa nchi nzima yeneye rasilimali kibao? Unajua GDP ya Tanzania kwa mwaka ni kiasi gani?
Unajua hiyo dola bilioni moja ni hela ambayo Silicon Valley Bilionea wanapoteza na kurudisha on a daily basis kwenye stock market?
Nchi kubwa, watu milioni arobaini na kitu, ardhi bwerere, raslimali bwerere, a billion dollars a month is $250m a week.
Anashindwa kupata hizo? Ana nia kweli? Mpaka sasa ameweza kupata nagapi?