Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

nimesoma post za uyu jamaa zilikua hatari sana ningependa kujua kama bado yuko hai.
 
US imeona wewe ni shida kwa kuwa nchi ni kama inakushinda vile na haioni tena mvuto wako kwa wananchi na hii ni hatari kwa maslahi yao hasa mafuta ya Zanzibar ambayo imeshayalia timing kwa maana ya kwamba imeshirki kikamilifu kucheza "game'' ya Rostam-Jussa-Karume-Shein kwa haraka sana. Nimekwambia kwamba, Muungano waweza kuvunjwa na baada ya muda ukarudi tena nakuwa serikali moja. Jiulize ni kwanini Mwamunyange anakudharau kiasi hicho?. Hicho kiburi anakitoa wapi?. Mr President, usikurupuke, cheza karata vizuri!


Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh! Ndiyo raha ya JF.
A king Maker story. Na majuzi kamtembelea baba magogoni.
 
Back
Top Bottom