KIKWETE: Hii ni zawadi au Ufanisi?

Emma M.

JF-Expert Member
May 15, 2009
204
6
Kuteuliwa kwa wabunge hawa:
1) Jussa -- Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CUF.
2) Janet Mbene -- Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Masaki kwa tiketi ya CCM,

Kuna maswali ya kujiuliza.
i) JK katoa zawadi kwao au vyama vyao?
ii) JK amewateua kwasababu ya ufanisi wao?

Semani hapa peupe msifiche.
 
Hapa Janeth alitakiwa sasa ili asiwe amependela sana naye Jussa kaingia. Kwenye msafara wa mamba na kenge pia wamo!!!!!!!
 
jusa ameingia kwa sababu iliyomuingiza hamadi rashid mohamedi enzi za mkapa, yaani mauaji ya jan 2001,

janeti kaingia kwa sababu kama iliyomuingiza makamba'

generally, ili kupata nafasi kama hizo lazima political equation ibalance kwanza........
 
jusa ameingia kwa sababu iliyomuingiza hamadi rashid mohamedi enzi za mkapa, yaani mauaji ya jan 2001,

janeti kaingia kwa sababu kama iliyomuingiza makamba'

generally, ili kupata nafasi kama hizo lazima political equation ibalance kwanza........
Akili ni nywele.
Kila mtu awe na zake.
Ngoja JF menbers wapige mahesabu ya kisiasa.
 
Kuteuliwa kwa wabunge hawa:
1) Jussa -- Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CUF.
2) Janet Mbene -- Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Masaki kwa tiketi ya CCM,

Kuna maswali ya kujiuliza.
i) JK katoa zawadi kwao au vyama vyao?
ii) JK amewateua kwasababu ya ufanisi wao?

Semani hapa peupe msifiche.

Hii moderator ipelekwe ikaunganishwe na ile ya PASCO
 
Kwani Umeambiwa Katiba imesema Rais atateua wabunge kumi kwa kutumia kigezo cha ufanisi...?lol He has the power, ata amteue nani as long as anasifa yakuwa mbunge wa Jamhuri basi..
 
Janet Mbene

jmbene.jpg
Janet Mbene is founder and Director of SIA Limited, a private firm that provides capacity-building support for small and medium enterprises.
Ms. Mbene has a rich history in development economics, banking, and international and regional trade. Her diverse background includes leadership positions in the private sector and in the United Nations before joining the non-profit sector. Prior to leading Mwengo, Ms. Mbene worked with Oxfam International, the UN Development Program, the International Labor Organization, and several international nongovernmental organizations. Her work focused on mobilizing producers and entrepreneurs into associations, building their capacity to improve production and manage their enterprises better, facilitating access to markets, campaigning for better conditions through dialogue with relevant authorities, and promoting fair trade policies. She has also led rights and empowerment programs for women and youth, particularly in advocacy, training in legal concepts and instruments, and microfinance and income-generation.​
Ms. Mbene has also interspersed her career with short-term consultancies around entrepreneurship development (e.g. with TechnoServe in 2007); research and analysis around rural microfinance services (e.g. with the Economic and Social Research Foundation in Tanzania); and financial services to small and medial enterprises (e.g. with a project of the Austrian government in Tanzania).
Alongside her work with SIA Limited, Ms. Mbene is also the founder and chairperson of YATIMA Trust on HIV/AIDS in Tanzania, which provides support for children who were orphaned or partially orphaned by HIV/AIDS and advocates for policy changes protecting orphans and orphanages. She is also a founding Trustee of the Association of Women Economists in Tanzania, promoting economic literacy and empowerment of particularly rural women.
Ms. Mbene has a Master's degree in economics from the University of New England in Australia.
SIA Limited aims to contribute to poverty eradication and sustainable growth support and promote entrepreneurs leading small and medium enterprises (SMEs) in Tanzania, and to contribute to the policy dialogue on SMEs and rural development in Tanzania. SIA targets start-up entrepreneurs in rural and urban areas, as well as local government bodies working with local communities in need of planning, implementation, and monitoring and evaluation capacities.​
Additionally, Ms. Mbene serves as chairperson for Getting Old is to Grow (GOIG), an NGO involved in advocacy around aged-people, which also supports vocational training centers in handicraft work for youth, as well as a project for orphans left in the care of their grandparents. She co-founded an NGO to offer support to home based orphans living with relatives.
 
Nadhani hujui kutofautisha vitu.
Taarifa na Upembuzi yakinifu ni vitu viwili tofauti.
Think big.

Sijaona upembuzi wowote yakinifu the same blah blah kama kule kwa pasco!! May b majibu unayo kama ni zawadi , lakin kwa Cv yake J Mbene kama ilivyoanikwa kwenye post ya pasco na hapo juu kwa mfunyukuzi ,Sioni kama ni zawadi zaidi ya good reputation ya mama Janeth.
 
..uteuzi wa Jussa unaeleweka kutokana na maridhiano kati ya Karume na Maalim Seif.

..Janet Mbene, pamoja na kwamba CV yake ni nzuri, lakini it a bit too late kumteua. sidhani kama atakuwa na muda wa kutosha kutoa mchango wowote ule wa maana ukizingatia kwamba bunge litavunjwa mwezi Oktoba or so ili kutoa nafasi kwa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom