Kikwete help Mugabe exit stategy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete help Mugabe exit stategy

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Mar 20, 2008.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2008
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Great lakes leaders includes Kikwete and South African president should give Robert Mugabe exit strategy. Yes is non of our business but we have history with Zimbabwe people and we need to give this guy a package and a place to stay for few years before he died. Tanzania should be a good place for him. What do you think??
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 20, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Unajua sisi Waafrika tuna matatizo sana. Kibabu kama Mugabe sijui wanamwogopea nini? Hivi wakiamua kumtimua nini kibaya kitatokea? Zimbabwe siyo mali yake binafsi na kailostisha beyond belief. Sijawahi kusikia hata siku moja mfumuko wa bei kufikia aslimia 66,000!!! Only in Africa and Zimbabwe. It is insane. Mimi simlaumu tena Mugabe. Wakulaumiwa ni Wazimbabwe wenyewe.
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Nyerere au Tanzania ndiyo iliyomweka mzee huyu madarakani. It is our mess may be we need to clean it, Huyu jamaa nashanga ni kwanini wanamuogopa na sijui ni nini alichonacho cha kuogpwa kiasi hiki. He is useless to his country and his people, useless to neighboring countries and useless to the world and black people. He is shame!
   
 4. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hiyo inflation rate inatisha! Lakini si kweli kuwa imewahi kutokea Africa peke yake. Mifano ya inflation mbaya sana katika historia ni kama ifuatayo:

  Ujerumani mwaka 1923, miaka 5 baada ya kushindwa vibaya katika vita kuu ya kwanza ya dunia, ilifikia inflation rate ya asilimia 3,000,000,ambapo bei za vitu zilikuwa zinaongezeka mara dufu kila siku ya pili! Kuna maelezo katika historia kuwa pesa za kununulia mkaa wa kuota moto nyumbani au wa kuokea mikate zilikuwa nyingi kuliko kiasi cha mkaa zinachonunulia, yaani ukiamua kuwasha hizo noti ziwe badala ya mkaa, basi moto wake ulidumu kuliko ule wa kiasi cha mkaa ambao zingenunua. Kinamama walifunga mabulungutu ya noti pamoja na kuyafanza kuni!
  Huko Ugiriki wakati wa vita kuu ya pili walitawaliwa kimabavu na wajerumani, uchumi ukadorora hadi inflation ikafikia asilimia 8,500,000 (milioni nane na nusu!) Kila siku bei za vitu zilikuwa mara mbili au zaidi ya jana yake!
  Inflation rate kali kuliko zote ilirekodiwa Hungary baada ya vita kuu ya pili ya dunia, ambayo ilikuwa haiandikiki ni asilimia ngapi maana hiyo namba sijui jina lake! Ilikuwa 17-figure inflation rate! (hiyo ya Zimbabwe ya asilimia 66,000 ni 5-figure! Ile ya Hungary miaka hiyo iliandikwa 4 ikafuatwa na sifuri 16!)
  Yugoslavia ilipoanza kusambaratika miaka ya mwanzo ya 1990's, ilifikia inflation rate ya kubwa sana pia, 16 digits! (Iliandikwa 5 ikafuatwa na sifuri 15)!
   
 5. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2008
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kithuku ahsante kwa data. Lakini kumbuka unalinganisha nchi zilizotoka vitani na nchi "iliyo na amani". Pia kumbuka kwenye kampeni kauli mbiu ya chama tawala ni kwamba Mugabe anasifiwa kwa kuletea nchi mafanikio makubwa ya kupambana na ubeberu na kumilikisha wazawa uchumi (mashamba)!
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi nani kawaambia Mugabe anaondoka?????? Is it thru the coming elections or some other means mnayozungumzia.

  Kumbukeni Zimbabwe hakuna TV wala redio binafsi so far, magazeti huru ni yale ya mtandaoni tu. The Electrol process is already flawed and is in total mess.

  Wakuu wa majeshi yote (Ulinzi, polisi na magereza) wamesema hawatamkubali raisi yeyote zaidi ya mugabe. wasimamizi wa uchaguzi ni wale tu kutoka the so called friendlier countries to zim like China, Iran, Venezuela and the usual SADC.

  Sheria mpya imepitishwa wiki hii kwamba polisi watakuwepo kila kituo cha kura kusaidia illiterates namna ya kupiga kura.

  Wiki hii hii civil servants na wajeshi wameongezewa mshahara na kima cha chini ni 1.5 billion zim dollarskwa mwezi. Mahindi vijijini yanagawiwa kwa only ZANU PF supporters.

  Mbeki, Mwanawasa, JK kimyaaaaa!!!!!! wanasubiri fujo ili tuje tuwasifie wamesuluhisha mgogoro after elections!!!!!!!!!

  Wazimbabwe wenyewe in majority hawaaamini kama mugabe anaweza kuwa defeated.

  Things are generally in shambles and crooked. Hlafu Mugabe ashindwe??????? Tusubiri Kenya nyingine if the guys have got the balls anywayz.

  Ni aibu, aibu aibu si kwa zimbabwe tu, bali kwa Afrika nzima, na waafrika woote!!!!!!!
   
 7. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  I miss CIA, enzi zile za kina Patric Lumumba haya mambo ya wapuuzi kama Mugabe yangekuwa kwenye briefcase. Huyu mzee nadhani anaumwa akili kutokana na umri.

  Huwezi kuwatesa wananchi wako eti kisa unashindana na nchi za west. Huyu mzee ana mentality za miaka ya 1950's. Poor zimbabweans
   
 8. a.9784

  a.9784 Senior Member

  #8
  Mar 20, 2008
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Nyani Ngabu,mfumuko wa bei hadi kufikia tar.18/mar/2008 ililkua asilimia laki moja.Mtu mwenye taarifa na bei za kule atuambie soda wananunua kwa sh.ngapi.

  Nakumbuka kipindi cha BWM yeye alikua shabiki sana wa Mugabe,na mara zote alikua akimpongeza MUG'kwa kila alichokifanya.Hivi kama tumeweza kupeleka majeshi yetu Comoro,kilichopelekea kupeleka majeshi Zimbabwe ni nini.Wanajeshi tunao.W@apelekwe wakatulee huyo mtu kwa sababu hakuna cha msingi anachoifanyia Z'tutamhifadhi kama tulivyokua tunawahifadhi wengine ktk mission.

  JK,wewe ndio eti kinara wa Africa,unguruma kwa hili tukusikie makeke yako.Waafrika wenzetu wanapata shida kwa fikra za kizee za Mug'Hawezi kuleta jipya kwa wazimbabwe,kama anaogopa kuwajibishwa mleteni tukamfiche Ukerewe kwa Mongela,nani atamfuata?

  MUG'IFIKE MAHALI AONE AIBU,ASILAZIMISHE URAIS WAKATI WANANCHI WAKE WAMEMCHOKA.
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu a.9784 soda ilikuwa inauzwa zim$ 10 million last tuesday sijui kwa sasa. Na hiyo ni bei ya mtaani kwenye mahoteli ya kitalii kama meikles nasheraton ni zim$ 70 million
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mnamtaka JK lawama . He has never exited na kwa hana hatakuwa na mbinu za kusaidia Mugabe exit .Hata hata mbinu za EPA wala madawa ya kulevya hapa hapa Tanzania .Zimbabwe is a serious problem na kwa viongozi wengi wa Africa they are not clean hawaamini katika Democracy ila urafiki madarakani ndiyo maana hata JK hawezi kusema Mugabe achia uje Tanzania utunzwe hadi ufe .Waafrika na hasa viongozi ni marafiki wakubwa wa Iran , China and the likes when it comes to power ila kwa kuomba misaada wanaenda west.
   
 11. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  I dont know whats is wrong with Zimbabwe people, kama kweli wangekuwa na political will ya ukweli wange fanya massive demostrations nchi nzima kupinga utawala wa kibabe wa Mugabe, ila swali la kimsingi litakuja palepale kuwa' can this fellas demostrate while their stomachs their are empty?, nafikiri ndio maana wengi wanaamua kukimbilia S.Africa.
  Binafsi naona pamoja na mambo mengi mazuri ambayo Mugabe ameifanyia nchi ile ni vema sasa akaachia Ngazi for the only sake of millions of Wazimbabwe ambao they are suffering, SADC should take an up hand through massive diplomaticy kuweza kumshawishi jamaa aachie ngazi, tunatambua ni jinsi gani juhudi zake zimefanikisha Zimbambwe kuwa pale ilipo lakini enough is enough, AU kupitia SADC ni wakati wao muafaka kujaribu resolve hili.
   
 12. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kabla hujawashangaa Wazimbabwe washangae Watanzania ambao wanaibiwa kuanzia kura hadi madini na pesa bank lakini hakuna mtu kaingia barabrani ila wanwategemea viongozi wa Upinzani kama vile ndiyo watu pekee na wao watanzania ni mawe.Wamediriki hata kuwapa CCM kura kule Kiteto .Je bado nataka kuendelea kuwashangaa wazimbabwe pekee ?
   
 13. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #13
  Mar 20, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Unataka kuniambia unasifia CIA kumuua our beloved pan africanist Patrick Lumumba, did I get you wrong?
   
Loading...