Kikwete: Hayati Dkt. Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki na wababaishaji

Ahaa unaleta hotuba ya msibani Chato

Wewe vipi Bwana hukwenda kuzikwa Chato

Hii ni hotuba ya Kikwete Chato akiwa anamzika Magufuli

Wewe CCM jina tu, Hujui lolote lile

Wewe ni mbumbumbu
:) :) :)
 
Yaani watengeneza vita vya kimakundi JK anawajulia kweli.

Yeye mwenyewe ndio fundi wa makundi!! Hayo yaliyomo kwenye hiyo video ndio maneno yale yale aliyozungumza kule "CHATO WAKATI WA MAZISHI YA MWENDAZAKE NA WATU WAKASEMA ALIKUWA ANAJIKOSHA!!!"
Conspiracy theorists wanajoji Mkapa na Magufuli kufariki within very short period of each other na wote hawa walikuwa kundi moja 2015 dhidi ya Msoga cult!!! Je kulikuwa na mikono ya watu majahiri?
 
Dawa ni tume HURU ili tuone hao tunaowadharau kama watapigia CCM au Chadema yanini kubwabwaja wakati Tume ni ya Wakurugenzi wa CCM
unachoandika ni sawa na kumwambia mtu mwenye kiu achague kunywa maji machafu au maji ya chumvi.
 
Ahaa unaleta hotuba ya msibani Chato

Wewe vipi Bwana hukwenda kuzikwa Chato

Hii ni hotuba ya Kikwete Chato akiwa anamzika Magufuli

Wewe CCM jina tu, Hujui lolote lile

Wewe ni mbumbumbu
aliwahi kuwaa kamanda nasikia bado anamaruerue ya ukamanda.
 
Habari wadau.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete akimuelezea aliyekuwa Rais wa tano wa Tanzania hayati Dk. Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa Rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.

Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa Rais jembe lake alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.

Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dk. Magufuli isingewezekana.
Mbona hakuwa adui yake ambaye pia ni mbabaishaji?
 
Habari wadau.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete akimuelezea aliyekuwa Rais wa tano wa Tanzania hayati Dk. Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa Rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.(MIGA)

Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa Rais jembe lake alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.

Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dk. Magufuli isingewezekana.
Watu wachonganyishi sana....Amefanya vizuri sana kuwaumbua wapambe nuksi!
 
Jk ni mbabaishaji wa nini
Huu ufisadi ambao umekuwa ukitusumbua unajua nani aliuanzisha tena akiwa waziri? Kama hujui mwingi hasa kwenye sekta ya nishati ulianzisha na Njaa kaya huyu huyu ambaye ana sifa moja tu yaani kuchekacheka.
 
Nilifurahi mno msukuma kuongoza nchi, kuna baadhi ya makabila hawakufurahia uwepo wake kama raisi. Japo kuna mazuri na mabaya amefanya ndani ya uongozi wake, lakini nitamkumbuka kwa mazuri.

Na zaidi kabila ambalo limetokea kumchukia na linajulikana, na halijawahi kutoa raisi ukanda wao, but sio wote waliokua wanamchukia, msininukuu vibaya, sio wote.
Kwa taarifa yako, na kama hujui.
Magufuli hana chembe ya usukuma.
Wasukuma tunawajua kwa tabia zao za ucheshi na ukarimu na roho njema.
Magufuli huwezi kumlinganisha kitabia na kina Bomani, Shija, Makani na wastaarabu wenngine wa kisukuma.
 
Ccm ipo njia panda

yaani anasapoti kubwa kutoka upinzani na asilimia ndogo ccm. kwa

maana hiyo 2025 wasipompitisha mama kuwa mgombea urais wapo asilimia ya wanaccm watakaoungana na upinzani ktk kura.

wakimpitisha mama 2025 lile kundi la jpm litajiunga na chama kingine Cha upinzani.

yaani ccm imeshagawanyika ktk makundi mawili makubwa. hii ni habari njema kwa cdm.

ni ngumu sana kuwaleta pamoja hasa ukizingatia jinsi ccm mpya inavyosambaratishwa na mama!

C&P
Wewe huijui CCM ila unaamini unaijuia!
 
Back
Top Bottom