Kikwete: Hayati Dkt. Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki na wababaishaji

Mchana alijifanya kujenga Daraja, usiku alimtuma Sabaya akaue watu na kupora mali za watu, akae na Madaraja yake hata Iddi amini alijenga
kama hakumuua mbowe na lema,alikuwa akiwaua akina nani!!maana hao ndio wanaoisumbua serikali.
 
Magufuli simdai mimi binafsi ila anadaiwa Roho za Watanzania wenzangu alizozitoa na mateso ya familia zao
mbona unasimama kama muwakilishi,unaijua dhambi yake!!!

mnatumia matatizo ya watu kujiimarisha kisiasa.
 
Habari wadau.

Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete akimuelezea aliyekuwa Rais wa tano wa Tanzania hayati Dk. Magufuli kuwa tangu akiwa waziri alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe na wababaishaji kazini. Kikwete amesema watu hao hawakumpenda akiwa waziri na hata alipokuwa Rais na ikizingatiwa kuwa nchi yetu inakabiliwa na wimbi kubwa la watu kuwa wazalendo mdomoni lakini kwa vitendo wanafanya mambo tofauti kabisa.

Kikwete kwenye hiyo video amefafanua kuwa wakati akiwa Rais jembe lake alikuwa waziri Dk Magufuli na alimpa kazi ya kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami na kweli mpaka anaondoka madarakani mwaka 2015 walikuwa wamefanikiwa kuunganisha mikoa yote isipokuwa katavi tu.

Kikwete amesema bila ubunifu na kujituma kwa Dk. Magufuli isingewezekana.
Msukule wa jiwe unatapatapa kumlisha maneno mzee kikwetu haikusaidii ndugu chalamila
 
Nilifurahi mno msukuma kuongoza nchi, kuna baadhi ya makabila hawakufurahia uwepo wake kama raisi. Japo kuna mazuri na mabaya amefanya ndani ya uongozi wake, lakini nitamkumbuka kwa mazuri.

Na zaidi kabila ambalo limetokea kumchukia na linajulikana, na halijawahi kutoa raisi ukanda wao, but sio wote waliokua wanamchukia, msininukuu vibaya, sio wote.
 
mbona unasimama kama muwakilishi,unaijua dhambi yake!!!

mnatumia matatizo ya watu kujiimarisha kisiasa.
Magufuli ameua na ametesa amebagua sana Watanzania amevunja Nyumba za Watu na kiwasababishia vifo vya presha na kiharusi

Tanzania hatujawahi kupata Raisi Dikteta kama Magufuli ever..
 
kama hakumuua mbowe na lema,alikuwa akiwaua akina nani!!maana hao ndio wanaoisumbua serikali.
p
Kijana,huyo jinamizi wako ameua sana Sabaya aliwahi kujigamba kuwa huwa anapigiwa simu na Magufuli usiku wa manane unajua maana yake Magufuli alikuwa anahusika katika kutumia vyombo vya Dola ili kumaliza Watu
 
wananchi sio wafuasi wa chadema pekee.
Well..twende kwenye kyra ya Maoni ili tuone ni asilimia ngapi wataiunga mkono CCM mumewafanya Wananchi kuwa Wajinga ndio muwatawale

Chadema tunawaamsha Wananchi wajue HAKI zao
 
Well..twende kwenye kyra ya Maoni ili tuone ni asilimia ngapi wataiunga mkono CCM mumewafanya Wananchi kuwa Wajinga ndio muwatawale

Chadema tunawaamsha Wananchi wajue HAKI zao
mngekuwa serious na hilo msingewafanyia utapeli ule 2015.

nyinyi mnadharau wananchi kuliko ccm inavyofanya,ccm inawafanya wajinga lakini haiwadharau,nyinyi mnawaona wajinga na kuwadharau.
 
p
Kijana,huyo jinamizi wako ameua sana Sabaya aliwahi kujigamba kuwa huwa anapigiwa simu na Magufuli usiku wa manane unajua maana yake Magufuli alikuwa anahusika katika kutumia vyombo vya Dola ili kumaliza Watu
mind you,saa hizi hatapiga siku mama.

mtakatwa marinda msijue watu wametumwa na nani.kuongoza watu 60mln,huku kuna matapeli wanavuta kamba ni jambo gumu,usipokaza yatakukuta kama ya jk,kuitwa rais dhaifu goi goi asiejiweza.
 
Back
Top Bottom